Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Watu kushikiliwa kwa tuhuma za ugaidi haijaanza kwa Samia.
Mashekh wa Uamsho walisota kwa zaidi ya miaka 8 na wengine miaka mitatu na zaidi

..hata JK na Jpm walikuwa wanasakamwa wawaachie Mashekhe wa Uamsho.

..katika kampeni za 2020 Lissu aliwatetea Mashehe wa Uamsho na Answar Sunna watolewe magereza.

..kwa hiyo ni halali kabisa kumshinikiza SSH na genge lake waache kubambikia watu kesi za uhaini na ugaidi.
 
kwani yeye si ananukuu tulivyoambiwa watanzania kuwa Kuna matishio ya usalama na mikusanyiko imepigwa marufuku na magaidi washaanza kushikwa sasa kwa akili yako unaona ni jambo dogo?
Iweje leo Heche akubaliane na kauli ya serikali ambayo CHADEMA wanadai ni serikali haramu..pili iweje leo Heche atoe ushirikiano kwa serikali kuhusu Ugaidi hali yakuwa anajua kunawenzie wanakesi hizo? Je, Tukisema ni kuwachoma wenzie tutakuwa tumekosea..Halafu akiandika hiyo barua kwahyo anathamini uhai wa wageni zaidi? Mwambieni asifanye hivo. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.Katiba ambayo itawapa nguvu wananchi ya kuamua. Sahivi CHADEMA Na CCM tungekuwa tumeshavisimamisha kupisha uchunguzi wa kina wa mgogoro wao.
 
..Mnapaswa kuishinikiza serikali iachane na ujinga wa kuteka, kubambika makesi, na kupoteza wakosoaji.

..serikali ikikomesha ujinga huo watu kama Heche watakosa hoja za kuishtakia ktk vyombo vya kimataifa.
 
Chizi ni Yule single Maza wenu wa pale ikulu...Na Kwa taarifa yenu mwambie mamayenu tunaandaa petitions nyingi Sana za kupinga Afcon isifanyike Tanzania
Akili hamna nyie na hao ******* wenzenu mnaokaa kushabikia siasa utafikiri huyo heche au lissu akiwa rais atakuto kwenye umasikini wako
 
..Mnapaswa kuishinikiza serikali iachane na ujinga wa kuteka, kubambika makesi, na kupoteza wakosoaji.

..serikali ikikomesha ujinga huo watu kama Heche watakosa hoja za kuishtakia ktk vyombo vya kimataifa.
Kaeni mezani CCM na CHADEMA halafu tuone kama hayo yataendelea vingnevo KATIBA MPYA itakuta kuamua.
 
Kop
Iweje leo Heche akubaliane na kauli ya serikali ambayo CHADEMA wanadai ni serikali haramu..pili iweje leo Heche atoe ushirikiano kwa serikali kuhusu Ugaidi hali yakuwa anajua kunawenzie wanakesi hizo? Je, Tukisema ni kuwachoma wenzie tutakuwa tumekosea..Halafu akiandika hiyo barua kwahyo anathamini uhai wa wageni zaidi? Mwambieni asifanye hivo. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.Katiba ambayo itawapa nguvu wananchi ya kuamua. Sahivi CHADEMA Na CCM tungekuwa tumeshavisimamisha kupisha uchunguzi wa kina wa mgogoro wao.
Kopa Akili Kwa jirani!
 
Chizi ni Yule single Maza wenu wa pale ikulu...Na Kwa taarifa yenu mwambie mamayenu tunaandaa petitions nyingi Sana za kupinga Afcon isifanyike Tanzania
Kwa kosa lipi hasa mlilokosewa na Taifa lako? Acheni mambo mengine yapite na msiingize siasa katika michezo ndugu zangu.
 
Nikweli maana hata mtukufu, muheshimiwa, mwokozi, daktari Samia ametutaarifu hilo
 
Mtukufu raia namba moja aidha aliteleza kusema vile au hakukusudia. Washauri wake Wamshauri vizuri kuondoa mikanganyiko inayoweza kuepukika.
 
Nilishawahi kuuliza tena na leo nauliza tena; hivi inakuwaje mtu unakamata watu na hii si mara ya kwanza halafu unatangaza kabisa kuwa umekamata magaidi nchini mwako na unawafungulia kesi kabisa ya ugaidi. Wakati huo upande mwingine unatoa pesa unatangaza utalii duniani na wawekezaji duniani waje Tanzania. Sijui ni mimi tu ubongo wangu ndio una matatizo maana hata sielewi. Hivi wanaofanya hivyo hawajui kuwa sekunde moja tu taarifa yoyote utakayoitangaza kwenye media inafika dunia nzima. Ni sawa na kukaribisha watu waje kukutembelea nyumbani kwako una duka wanunue vitu upate hela huku upande mwingine utangaze nimekamata vibaka mtaani kwangu na wamefunguliwa kesi ya kukaba watu kwa roba za mbao. Ni fala gani atakayeleta makanyagio yake kwako au mtaani kwako ili akabwe anyang'anywe pesa na kila kitu na mpaka sauti nayo ipotee maana roba ya mbao sio mchezo ikikupata sawa sawa wiki nzima sauti haitoki.

Au ule wanasemaga mnara wa babeli ndio huu tunauona "live" bila chenga?

Please jamani siamini kama wenye busara na akili wameisha huko serikalini. Hebu ondoeni hizo kesi zote za ugaidi maana wanaoumia sio hao walioshtakiwa tu bali mama Tanzania ndio anaumia zaidi. Kama kuna watalii huwa hawaji Tanzania kwa kuogopa malaria vipi wale ambao watasikia kuna magaidi Tanzania wamekamatwa na wameshtakiwa na serikali. Tanzania ni kubwa sana kuliko huo mpambanao wenu wa vyama.

Nahisi anayefanya hivyo pia huwa haelewi uzito wa neno ugaidi likitamkwa kwa kiingereza "terrorism""

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom