Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Mnajichanganya wenyewe kwa kitojitambua kwani mnajitekenya wenyewe tangu lini maskini akajikomboa si ataendelea kuwa mtumwa tu huku analalamika kwa asiyoweza kufanya.

Kwa tonetone msitegemee mabadiliko jikomboeni kiuchumi kwanza ndiyo mtaweza kujikomboa kisiasa,viongozi wenu hawana uwezo nyie hamna uwezo 90% hamna kipato cha uhakika matajiri woooote wako ccm mtaboa kweli?
Cdm haihitaji matajiri wauza unga na wakwepa kodi. Hao matajiri wanajufanya wako ccm ili kulinda Mali zao, lakini hawautaki huo uchafu uitwao ccm kabisa.
 
Serikali ya CCM sasa iombe USA waje watusaidie kupambana na Magaidi ambao serikali yenyewe imesema wapo. USA watafanya hivyo kama wanavyowasaidia Somalia na Mali.

Hata AFCON ni hatari sana ikija kuchezwa kwenye nchi ambayo serikali iliyopo madarakani inasema kuna wananchi wake magaidi
Wananchi pambaneni mpate Katiba mpya.
 
unadhani hao FIFA na CAF hawana mabalozi? CHADEMA kuna mambo mnachemka japo na CCM inamakosa yake..Hebu kaeni Mezani muyamalize..KATIBA IJAYO SISI WANANCHI HATUTAVUMILIA HUU UPUUZI MAANA MAMLAKA YOTE TUTAKUWA NAYO.
Ni wapi cdm wameanza huo upuuzi? Yaani cdm wakae kama mabwege tu wakati wafuasi wake wanaumizwa?
 
Yes tuwepe pembeni siasa. Alichokisema Heche sisi tunakichukulia kama tahadhari ktk uwekezaji wetu Arusha. Mana kwa mitaji hii mara Heche kafanikiwa kuzuia AFCON tutawalipa nini vibarua wetu na tuliowapa tenda ya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa ajili ya AFCON?
Waambie serekali iache uonevu wa kitoto, wajinga wameshaamka.
 
Back
Top Bottom