Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Ingawa hakuna atakayewazingatia hao wapumbavu ila ndiyo muamini Heche siyo mtanzania, ni mkenya yuko kuvuruga, kuharibu na kudunisha nchi yetu. Hakuna hapa dunia chama cha siasa za kipumbavu km hicho. Wakenya nchi yao kwanza siasa baadaye. Ila kina Heche uzalendo wao uko wapi? Kamwe asilani chadema hawataweza kuongoza nchi yetu. Ingewezekana natamani Magufuli afufuke huyo mbwa alishakimbia nchi sema mwanamke ni mwanamke tu, Samia kawarudisha hao vibaraka wa kutuharibia nchi yetu. Ingekuwa tuna Rais mwamba km Kagame, Museveni wangejaribu kuandika hizo barua kesho yake watafute nchi ya kuhamia huwezi kuishi na majoka km hayo ndani ya nchi! Heche ameachiwa sana!
 
Acha uwe upumbavu, waliosema kuna ugaidi ambao haupo wao sio wapumbavu.
Shida hii JF imetekwa na nyumbu, wanaendesha siasa za kishamba, wako tayari lolote litokee ht kuangamiza nchi ili mradi waingie madarakani. Hicho ndiyo kinafanya chadema kamwe wasione uongozi wa nchi hii. Wamechoka kuendesha siasa safi sahv wanadandia kila tukio la hovyo. Chadema ndio waliohamasisha, waliopanga, kufadhili na kutekeleza zile vurugu na ghasia za tarehe 29, ule ulikuwa UASI uliopangwa!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Intact namkubalii sana mwambaa heche ilahapa sio, hizo petitions haziezi kusikika coz football na politics ni irrelevant images hazina ushirikianoo kabisa!
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kitayaandikia mashirikisho makubwa ya mpira duniani FIFA na CAF kwa ajili ya kuyapatia taarifa za uwepo wa magaidi nchini.

Kauli hiyo imekuja michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2027 ikitarajiwa kufanyika Kenya ,Uganda na Tanzania

Kauli hiyo ameitoa leo Julai 25,2026 akizungumza na vyombo vya habari jijini Mwanza.



​
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Ukiwa vitani kila unachokutana nacho hiyo itumie kama siraha ya kulinda dhidi ya adui
 
Kwako wewe uzalendo ni serikali kukosa MAPATO, ila wananchi kubambikiwa kesi za uhaini na ugaidi kwako Hilo ni sawa tu. Anyway kama ulikuwa hujui MZALENDO ni mtu anayeipenda nchi yake, sio serikali.
Sasa nanyie CHADEMA tuwaeleje? Mnasema hamuitambui serikali iliyojipachika madaraka halafu leo hii unaungana nayo kwenye tamko la uwepo wa Magaidi, kwahiyo mnakubali kuwa magaidi wapo ?Je, wale wenzenu waliofunguliwa kesi ya ugaidi huoni barua yenu inawahukumu? CCM na CHADEMA kaeni meza moja muyajenge.
 
Vipo humu vinamtisha, wakati ulemavu wa akili wanao wenyewe. Nchi inakosaje watu wenye busara wa kushauri huu utawala?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Jambo zuri sana ,kama kuna UGAIDI inabidi wazungu wajuzwe ili wasije Tanzania nchi yenye magaidi na UGAIDI.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Yaani huyu ndiyo Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa!! Ndiyo analeta hoja kama hizi je hao wanachama wao wa kawaida hivi watakuwaje?, Haya FIFA na CAF imehusikaje kwenye siasa za Tanzania? Yaani anajiona yeye na chama chake ni watu special sana nchini kwamba kila kitu kisimame kwa sababu ya upuuzi wao!! Sasa unataka kuzuia sekta ya michezo hivi hao wanamichezo wata kuungaje mkono .
 
24 July 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Heche: CHADEMA party will write an official letter to FIFA and CAF to explain that the Government of Tanzania says there is 'Terrorism in Tanzania' and they should not bring people to AFCON 2027​



CHADEMA Vice Chairman, John W. Heche has stated that CHADEMA plans to write letters to world sports institutions such as FIFA and CAF, as well as other international organizations, to inform them about the government's statements on current security concerns.

Read: Heche: Within 2 days, 51 CHADEMA leaders have been arrested and charged with terrorism cases

The CHADEMA party has stressed that its action is not to tarnish the country (Tanzania) , but to clarify the truth and call on the world sports organs to re-evaluate the security of organizing major events in Tanzania amid these allegations of terrorism.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jHiymWtfwOg


26 July 2026

ABC NEWS

51 Tanzanian officials of the major opposition party arrested and charged with terrorism over planned July 2026 protests, CHADEMA says​

Tanzania’s main opposition party says 51 of its officials have been arrested and charged with terrorism, accusing the government of using law enforcement to intimidate critics
ByThe Associated Press
July 25, 2026, 6:32 PM


Headlines from ABC News LiveCatch up on the developing stories making headlines.

NAIROBI, Kenya -- NAIROBI, Kenya (AP) — Tanzania’s main opposition party on Saturday said 51 of its officials were arrested and charged with terrorism, accusing the government of using law enforcement to intimidate critics.

CHADEMA deputy chairperson John Heche said the officials were arrested over planned protests this month that failed to materialize because of a heavy police presence.

Tanzanians had planned to take to the streets on July 7, a date that commemorates the formation of the ruling party and is also associated with pro-democracy protests in neighboring Kenya. Protest organizers were calling for democratic reforms following the disputed October general election, in which President Samia Suluhu Hassan was declared the winner with 98% of the vote.

Heche said Chadema chairman Tundu Lissu had been denied his basic rights and was facing the same terrorism charges, which are not eligible for bail.

Terrorism charges in Tanzania carry severe penalties, with those convicted facing prison sentences ranging from 10 years to life imprisonment.

On Thursday, a university lecturer had charges against him upgraded from incitement to terrorism ahead of a scheduled bail hearing on the earlier charges.

“I urge all Tanzanians to unite and speak out against blackmail and intimidation,” Heche said
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

Mnahangaika bure tu. Afcon itachezwa hapa Tanzania kwa muda wa mwezi mzima mapema mwakani.
 
Yaani huyu ndiyo Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa!! Ndiyo analeta hoja kama hizi je hao wanachama wao wa kawaida hivi watakuwaje?, Haya FIFA na CAF imehusikaje kwenye siasa za Tanzania? Yaani anajiona yeye na chama chake ni watu special sana nchini kwamba kila kitu kisimame kwa sababu ya upuuzi wao!! Sasa unataka kuzuia sekta ya michezo hivi hao wanamichezo wata kuungaje mkono .
Mpuuzi sana huyu jamaa, yeye na chama chake walikuja na mikwara ya Rais SSH kushtakiwa kule ICC lakini muda unakwenda na hakuna la maana linalofanyika.
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Hivi ndugu narogo hujuwi kuwa serekali ya CCM ikisema kuna ugaidi walengwa ni Chadema?. Kupitia tamko hilo la ugaidi, tambuwa kuna wanachadema watakaotekwa na kuuwawa, kuna yatima wajane na wagane watazalishwa, biashara na shughuli zao halali zinaenda kuvurugwa, kuna watakao bambikiwa kesi za ugaidi huohuo,.....to list few.
Sasa niambie hayo manufaa ya wanachadema kupitia AFCON yafaa nini kwa gharama hiyo ya damu na mali za wanachadema wenzao?.
Mr. narogo hebu tazama mambo haya ktk mawanda mapana.
Binafsi Heche namwelewa, kwani reaction yake juu ya kauli hiyo inamfanya aoneshe kujali uhai wa wafuasi wake badala ya mali zao.
Uhai kwanza Mali baadaye. Tunazungumza juu ya faida na mapato ya AFCON kwasababu tupo hai.
 
Back
Top Bottom