Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Taifa limejaa magaidi
Wenyenchi yao ndio wanaosema nchi imejaa magaidi, tena magaidi wengine ni wahadhiri wa vyuo vikuuMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Acha uwe upumbavu, waliosema kuna ugaidi ambao haupo wao sio wapumbavu.Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Sasa mtachezaje mpira kwa amani huku kuna magaidi kila kona?Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Ha ha ha ...Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Chizi ni Yule single Maza wenu wa pale ikulu...Na Kwa taarifa yenu mwambie mamayenu tunaandaa petitions nyingi Sana za kupinga Afcon isifanyike TanzaniaHuu sasa ni uchizi
HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Chizi ni yupi sasa? Aliyekamata watu na kudai ni magaidi au anayewapa tahadhari walimwengu kuwa wakija Tanzania watakutana na ugaidi ambao serikali inadai upo?Huu sasa ni uchizi
Wanoongoza serikali ndiyo wanadai kuna magaidi. Chadema wana amplify kile ambacho serikali imetangaza.Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?Sasa mtachezaje mpira kwa amani huku kuna magaidi kila kona?