Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Mtu mwenye jukumu la kulinda raia na mali zao akigeuka kuwa muuaji wa hao raia, bado anastahili kuwa mlinzi wa raia na mali zao?
KATIBA YA SASA INAMLINDA, KAMA TUNGEKUWA NA KATIBA INAYOMPA NGUVU MWANACHI HUYO UNAYEMSEMA ANGEPISHA UCHUNGUZI LAKINI KWAKUWA NAWEWE MDAI HAKI UNALIJUA HILO KABISA LAKINI KWA VIBURI VYAKO BILA KUTUMIA AKILI UNAWAPOTOSHA WANANCHI NA KUSABABISHA WANAANGAMIA NAUKIWA UNAJUA KABISA NAWAANGAMIZA. NAWEWE NI MUUWAJI...NJIA NZURI YA KUONDOA HAYA YOTE NI KUKAAMEZANI NA KUPAMBANA KUPATA KATIBA MPYA ITAKAYO WAPA WANANCHI NGUVU YA KUWAWAJIBISHA VIONGOZI..UKING'ANG'ANIA KUDAI UWAJIBIKAJI WAKATI KATIBA YA SASA INAWALINDA VIONGOZI NIKUTAKA KUWAANGAMIZA WANANCHI WAKO. CCM NA CDM KAENI MEZANI MUYAJENGE.
 
Kwamba unajitoa akili kuwa Yule jamaa wa UDOM na wale vijana wa Mwanza hawajakamatwa kwankosa la ugaidi?

Ebu tumia basi hiko.kichwa kufikiria bro ili ufuche aibu ndogo ndogo kama hizi mbele ya jamii.
Wale wamekamatwa kwa kupanga njama za uhaini na sio Ugaidi!!
 
Watu wengi, including wewe, wana misconception ya ubora wa katiba. Wanadhani katiba nzuri by itself inatosha. Ukweli ni kwamba, no constitution or law is good enough to defend itself. Uadilifu wa Rais ni kitu kimoja muhimu sana. Mkipata Rais mhuni, kila kitu kitakwenda mrama. Katiba na sheria zitavunjwa left and right. Yaliyotokea Marekani January 6, 2021 na yanayoendelea kutokea sasa chini ya Rais Trump is a case in point!

Usitumie ubovu wa Katiba yetu kama kichaka. Ingawa Katiba yetu ina mapungufu, haina Ibara yoyote inayohalalisha abductions, torture and/or extrajudicial killings by security forces au inayowanyima raia freedom of speech au haki ya kuandamana/kukusanyika. Kama wewe unajua kuna Ibara ya aina hiyo, basi tuambie na sisi tuijue!
 
Kwa hiyo uzalendo ni kuteka na kuuwa wananchi wako?.Acheni ujinga wenu nyakati zimebadilika.
 
kifupi tu Kwakatiba hii hata kichaa anaweza kuongoza na usimfanye lolote..Tunataka Katiba ambayo ukienda kinyume na makubaliano tunakuweka pembeni..lakini itoe fair hata kwa wapinzani kushika nyazifa.
 
Halafu ajenda ya mazungumzo inakuwa ni nini hasa wakati suala ni kwamba ccm ipo madarakani bila uchaguzi.
wote mlishakosea huko mwanzo mnapaswa kukubali makosa yenu na kuona namna gani mnaweza kukubaliana ndo maana ya kukaa mezani..Tuna vyama 19..CCM na CDM kaeni mezani muyajenge.
 
Mechi zote zitahamishiwa Zanzibar tu, ambalo pia mutanuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…