Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

a confuser is confused 🐒
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
 
Uko nchi gani kwani mwenzetu?
 
Hata mashekh wa Uamsho walishikiliwa miaka nane kwa ugaidi, mbona hamkuomba USA waje?
 
24 July 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Heche: CHADEMA party will write an official letter to FIFA and CAF to explain that the Government of Tanzania says there is 'Terrorism in Tanzania' and they should not bring people to AFCON 2027​



CHADEMA Vice Chairman, John W. Heche has stated that CHADEMA plans to write letters to world sports institutions such as FIFA and CAF, as well as other international organizations, to inform them about the government's statements on current security concerns.

Read: Heche: Within 2 days, 51 CHADEMA leaders have been arrested and charged with terrorism cases

The CHADEMA party has stressed that its action is not to tarnish the country (Tanzania) , but to clarify the truth and call on the world sports organs to re-evaluate the security of organizing major events in Tanzania amid these allegations of terrorism.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jHiymWtfwOg
 
Kumbe mnajua vyema kuwa mnachochea vurugu kwa kuwabambikia kesi za ugaidi watu? Sasa shetani mlomfuga wenyewe kwanini awatishe? Ujinga wenu kumbe unawaogopesha hadi nyie🤣🙆‍♂️
 
Sheria ya ugaidi ilitungwa enzi za Mkapa na Watz wengi tu wamesota rumande kwa tuhuma za ugaidi. Kila Rais aliweka ndani watz kwa tuhuma za ugaidi. So hakuna jipya kwa Samia
 
24 July 2026

CHADEMA will write an official letter to FIFA and CAF to explain that the Government of Tanzania says there is 'Terrorism in Tanzania' and they should not bring people to AFCON 2027​


View: https://m.youtube.com/watch?v=6EDt2qCTHAUNorthern Tanzania, just below the majestic Mount Meru, at an elevation of 1,500m above sea level, Arusha Tanzania is the gateway to Tanzania’s natural beauty and a hub for governance, business, tourism, and culture.
 
Hata mashekh wa Uamsho walishikiliwa miaka nane kwa ugaidi, mbona hamkuomba USA waje?
Fuatilia CHADEMA walipinga sana huo uongo wa kudai kuwa wale mashekh ni magaidi na Lema personal aliongelea sana hiyo issue japo hawakufikia kuandika barua huko nje lakini walitahadharisha kuwa inaharibu taswira ya nchi.

Ccm wamerudia tena huo ujinga so lazima na wao chadema wajiongeze maana ccm washafanya mchezo kudai nchi ina magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…