Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Kumbe alikuwa anacheza ngoma ya kibemasa (hide and seek) na chombo cha dola?? Amekula jeuri yake!! No sympathies
Amefanya kosa gani wewe matak&? Mnafurahia watu wakiuawa? Kama alikuwa ana makosa kwanini wasije mchana kumchukua au kumweleza kosa lake? Mpumbavu wewe? Siku moja mtakuja kujuta.
 
Kama hakupewa mafao ya kusafirisha mizigo yake ndiyo hawezi kusafiri? Wakati mwingine ni vyema ukatumia ubongo wako kwenye kufikiri kuliko kutumia your behind. Nani alikwambia yupo Cuba? Husikilizi unakurupuka kama mpumbavu, Mizigo na mtu ni vitu viwili tofauti......Anaweza akawa amesafirisha mizigo yake mwenyewe akaambiwa hayuko qualified for reimbursement, pili anaweza kuwa ameacha mizigo yako huko huko akitegemea kusafirisha baadaye lakini serikali ikaweka vikwazo. Pole pole alishasema kuwa yupo Tanzania, akasema alikuwa Morogoro kipindi fulani, police wakawa wamemfukuza, akasema alienda hadi Paje, na akatoa video moja akiwa center center kwenye mnara wa askari. Sasa wewe unajibu kipolisi kama Muliro....Unajidharaulisha....au wewe ndiyo wale watekaji?
Uki resign wewe ndiyo unamlipa mwajiri mshahara wa mwezi mmoja, hii ni kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma
 
Amefanya kosa gani wewe matak&? Mnafurahia watu wakiuawa? Kama alikuwa ana makosa kwanini wasije mchana kumchukua au kumweleza kosa lake? Mpumbavu wewe? Siku moja mtakuja kujuta.
Hiyo ndiyo rule of Karma. Mti hutengeneza kiberiti, lakini njiti moja tu inatosha kuchoma msitu mzima
 
Amefanya kosa gani wewe matak&? Mnafurahia watu wakiuawa? Kama alikuwa ana makosa kwanini wasije mchana kumchukua au kumweleza kosa lake? Mpumbavu wewe? Siku moja mtakuja kujuta.
Unatukana mwenyewe halafu unataka nikujibu nini? Kasome Mithali 26:4
 
Unaachaje kumchukia mtu katili na muuwaji kama huyo?

Huyo Mama ni shetani linalotembea ,na kibaya zaidi hawezi tu hata kuficha hisia zake , Mama nikatili utadhani ni raia wa kutoka kwa njia zingine .
Hata aibu husikii mwenyewe?!!
 
Yule kaka mbabaishaji tu
Hakuna kitu kama hicho.wana uhakika.wewe unadhani pole pole alikuwa hawasiliani na NDUGU zake?au unadhani NDUGU zake walikuwa hawajui kuwa Pole pole yupo Tanzania?
 
Unatukana mwenyewe halafu unataka nikujibu nini? Kasome Mithaki 26:4
Hakuna kitabu kinachoitwa Mithaki wewe punguani, hujui hata unachoongea. Sijui kwanini upo hapa JF? Mtekaji na muuaji mkubwa, yatakutokea puani siku moja.
 
Hakuna kitu kama hicho.wana uhakika.wewe unadhani pole pole alikuwa hawasiliani na NDUGU zake?au unadhani NDUGU zake walikuwa hawajui kuwa Pole pole yupo Tanzania?
Kama walijuwa yupo Tanzania, na hawakumuonya kuhusu ujinga wake, basi saa hizi tusisumbuane. "Asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na.....
 
Hakuna kitabu kinachoitwa Mithaki wewe punguani, hujui hata unachoongea. Sijui kwanini upo hapa JF? Mtekaji na muuaji mkubwa, yatakutokea puani siku moja.
Well we'll at least unajuwa kuwa Mithaki hakipo, ila Mithali kipo
 
Kama walijuwa yupo Tanzania, na hawakumuonya kuhusu ujinga wake, basi saa hizi tusisumbuane. "Asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na.....
Ujinga upi aliufanya pole pole?
inaonekana aliongea ukweli.ndo maana imewauma.
 
Ujinga upi aliufanya pole pole?
inaonekana aliongea ukweli.ndo maana imewauma.
Ujinga ni pale unapoanza kutoa siri za Serikali wakati una kiapo na uko hapahapa. Lazima uchomolewe kama panya buku
 
Ujinga ni pale unapoanza kutoa siri za Serikali wakati una kiapo na uko hapahapa. Lazima uchomolewe kama panya buku
Kwani wao wataishi milele?madaraka yanapita hayo.alifanya magufuli Sasa hivi yupo chato kafukiwa madongo,
 
Ujinga ni pale unapoanza kutoa siri za Serikali wakati una kiapo na uko hapahapa. Lazima uchomolewe kama panya buku
Utajisikiaje ukiona pole pole yupo mzima?
 

Attachments

  • ‎Hii_ni_kweli_au_ni_nini‎20251014‎_Phoenix.mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom