imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Duuh! Kwahiyo unataka kunipangia niwaze nini niseme nini?Haipo mind hapo huo ni upuuzi. Ondoa picha ya Lissu ya Nchimbi inakutosha!
Duuh! Kwahiyo unataka kunipangia niwaze nini niseme nini?Haipo mind hapo huo ni upuuzi. Ondoa picha ya Lissu ya Nchimbi inakutosha!
Akimtetea sitashangaa. Maana anajali uhai wa kila binadamu bila kujali yupo katika nafasi gani ama alihudumu wapi.Kwahiyo leo umekuwa mtetezi wa Slowslow.
Mafwele nae alitekwa utaanza kumtetea?
Huvijui vyombo vya dola wewe, endelea kujidanganyaHakuna askari wa kumpiga mwananchi ili nyie muendelee kuliibia hili Taifa.
Labda Nyerere wa Nangurukuru au Mandela wa Kazuramimba
Polepole anapita mulemule alimowapitisha wengine kama Ben Saanane.Mtu "akiichafua" ulimaanisha nini?
Unaweza kuweka hapa uchafu huo uliosemwa juu ya serikali?
Halafu mtu akichafua serikali ndio anavamiwa na kutekwa?
Kwahiyo zile data za mafisadi alizokuwa anatoa ndio kuichafua serikali?
Kutekwa kunakuwaje bahati mbaya?
Kipindi hiki zile story za kujiteka mmeona hazitafit kwenye script hii maana pale kuna damu, mbao za mlango kuvunjwa na vioo na nyaya za ulinzi za umeme zimekatwa?
Nikueleze tu hakuna bahati mbaya watu walikaa wakafanya allocation ya resources juu ya hilo tukio hivyo hakuna bahati mbaya maana hakua safarini akatekwa bali kafuatwa anapoishi.
Hii ulishasema ,hivyo ni ugomvi wako binafsi na kukatwa jina lako 2020 kama ulivyosema hivyo ulitakiwa mmalizane chamani mimi hapa naongelea mambo ya moja kwa moja ya kitaifa
Aliyoyaibua kuhusu utekaji , msururu wake ni mrefu na ilitakiwa tupate uchunguzi huru ambao Samia mwenyewe aliukwepa 2022 katika maridhiano feki ambayo niliyapinga na mimi nisingekuwa na hiyana hata Polepole kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa makosa yake awamu ya tano ila sio huu uhuni wa kumvizia mtu kalala unaenda kuvunja nyumba na kumteka.
I got you by the balls:-Hilo jamaa Stuxnet ni moja wapo ya majizi makubwa. Ndiyo maana linasema eti serikali ilikuwa “inachafuliwa”, kwa hiyo ukisema madudu yanayofanywa na serikali ni kuichafua, na unastahili kutekwa?
Hii nchi haitakuja kuendelea hadi majitu ya aina hii ya Stuxnet yaangamie kabisa.
Halafu linaenda mbali zaidi, linasema eti Polepole alistahili kutekwa — sasa, mahakama ipo kwa kazi gani? Kama ndivyo, bora wafute kabisa mahakama na waanze tu kuvizia na kuteka watu ovyo kama wanavyotaka.
Duuh! Kwahiyo unataka kunipangia niwaze nini niseme nini?
You are quoting words whose meaning you do not even know, or who they are directed at. The person who started the thread is the one you could have spoken to like that. Now, if Polepole’s family says he was in Tanzania, don’t you think the police leadership would have investigated if it wasn’t compromised? By the way, I didn’t quote anyone’s statement — I only used the little knowledge I got from my language teacher to write.... nyumbu we"It's better to keep your mouth shut and appear stupid than open it and remove all doubt." - Mark Twain
Lile betri ndiyo lililokuwa kukipiga push-ups wakati akipiga mikwara jukwaani na mbona wakati chawa wake wakimsifia kwa afya iliyo strong tofauti na ya 'goigoi' Lowassa hatukuambiwa kuwa ana betri linalomuendesha na kilicholizima hilo betri ni kitu gani? Basi na huyu kisebengo bi Urojo akifa tutasema alikuwa na betri vilevile au huyu tutasema alikuwa na motor kiunoni.Polepole aliingia kimya kimya na kujificha na kuanza kuporomosha tuhuma mbalimbali bila ushahidi wowote dhidi ya wanaCCM wenzake .
Tuhuma ya ajabu kabisa ni ile ya kusema hayati Magufuli ameuwawa wakati sote tulikuwa tunajua kuwa anatembea betrii moyoni halafu akairuhusu corona iingie hadi ikulu.
Shut up your mouth, you are defending a person who is an architect and perpetrator of the rotten systemYou are quoting words whose meaning you do not even know, or who they are directed at. The person who started the thread is the one you could have spoken to like that. Now, if Polepole’s family says he was in Tanzania, don’t you think the police leadership would have investigated if it wasn’t compromised? By the way, I didn’t quote anyone’s statement — I only used the little knowledge I got from my language teacher to write.... nyumbu we
Siwateteagi waovu.Akimtetea sitashangaa. Maana anajali uhai wa kila binadamu bila kujali yupo katika nafasi gani ama alihudumu wapi.
Hii ndio tunaitaka iwe, kusimamia sheria na tarabu wakat wote.
Sio kuside kama nyeti za kuku kwenye upepo.
Binafsi, namuunga mkono kutetea dhulma kwa yeyote yule.
Rotten system is in the Kibibi's underware!Shut up your mouth, you are defending a person who is an architect and perpetrator of the rotten system
Na sio sahihi mtu kuuliwa angefikishwa mahakamani ili ahukumiwe kwa matendo yake.Polepole anapita mulemule alimowapitisha wengine kama Ben Saanane.
Unamkumbuka shushushu wa Russia aliefia London kwa Polonium 210, Alexander Litvinenko?Na sio sahihi mtu kuuliwa angefikishwa mahakamani ili ahukumiwe kwa matendo yake.
Ukinisoma vizuri mimi simtetei kwa aliyoyafanya moja kwa moja au kuagiza awamu ya tano bali nasema njia sahihi yeye na chain yake ile ni wangefikishwa mahakamani ila sio huu uhuni wa kumvamia mtu usiku kalala na kumteka hii haikubaliki.