Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Polepole aliingia kimya kimya na kujificha na kuanza kuporomosha tuhuma mbalimbali bila ushahidi wowote dhidi ya wanaCCM wenzake .

Tuhuma ya ajabu kabisa ni ile ya kusema hayati Magufuli ameuwawa wakati sote tulikuwa tunajua kuwa anatembea betrii moyoni halafu akairuhusu corona iingie hadi ikulu.
Ungetumia akili hata kidogo kuchangia badala ya kujitoa ufahamu na kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
 
Jiandae tu kukimbia nchi fisadi
Kupotea Kwa polepole siyo jambo jema na salama. Lakini swali langu je? Mtu mhimu kama Polepole ambaye amewahi kuwa Katibu mwenezi chama tawala na mara ya mwisho akawa balozi wa kuliwakilisha Taifa na baadaye akaamua kuachia nyadhifa zote alizokuwa nazo na kuanza ukosoaji mkubwa kiasi mpaka Polisi kumuita aje wakae wazungumze. Akasema wamuhoji kwa njia ya mtandao ni vipi aje kwa njia za panya?

Hajulikani aliingia lini na vipi nchini na hakuripoti kwa mamlaka zilizo kuwa zina mhitaji? Je ni kweli alikuja? Kama alikuja kwa stahili hizo alikuwa na lengo gani? Kwa mtu mkubwa na maarufu na mwenye wafuasi wengi?
 
polepole mara nyingi amesema yuko nchini kama ana makosa apelekwe mahakamani
Karma is real and never loses location. Polepole ni mmoja kari ya top 5 members wa Magufuli walioasisi uchafu wote huu; kuteka, kuua, kuzuia shughuli za vyama vya upinzani, kununua wabunge wa upinzani, kunyang'anya fedha za wafanya-biashara. Kwa hiyo muache anywee kikombe alichokuwa anaywesha wengine kama kina Ben Saanane, Tundu Lissu etc
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Hiyo siku mtajua hamjui. Msije mkavilaumu vyombo vya usalama.
 
Mimi nitamtetea Polepole maana katupa taarifa nyingi zitakazotusaidia siku za usoni na ndio maana waliona amekua tishio.

Pia Polepole katika moja ya video zake aliomba msamaha wazi , hawa vibaka kuna siku hizi jinai zitajibiwa ni suala la muda.

Kama serikali inasema hajatekwa na wao nachofahamu ofisi ya DCI ndio inajukumu la kutupa sasa majibu ya vinasaba na alama za vidole kwenye ile damu na pia kwenye vitasa .

Serikali wasikimbilie kusema hakuwa yeye na kwamba hakurudi Tanzania nao waonyeshe wamechukua hatua zipi kutupa majibu ya alama hizo.

Wakiona ni ngumu waruhusu familia itumie private companies kuthibitisha hapo tujue ukweli.

Aina za watu kama imhotep ni liability. Hawana mchango wowote. Hawajitambui. Yeriko, retiree na ile timu yote tiifu ya mwamba ni heri ikaishia huko kwenye ubwabwa tu.

Haijui tunapigia nini na haiwezi kuelewa. Misaliti mikubwa. Hatuwezi kupigana na wa namna hiyo wakiwa huku!


Ni heri kuwa na mbuzi meme wenyewe kuliko hizi!
 
Mimi nitamtetea Polepole maana katupa taarifa nyingi zitakazotusaidia siku za usoni na ndio maana waliona amekua tishio.

Pia Polepole katika moja ya video zake aliomba msamaha wazi , hawa vibaka kuna siku hizi jinai zitajibiwa ni suala la muda.

Kama serikali inasema hajatekwa na wao nachofahamu ofisi ya DCI ndio inajukumu la kutupa sasa majibu ya vinasaba na alama za vidole kwenye ile damu na pia kwenye vitasa .

Serikali wasikimbilie kusema hakuwa yeye na kwamba hakurudi Tanzania nao waonyeshe wamechukua hatua zipi kutupa majibu ya alama hizo.

Wakiona ni ngumu waruhusu familia itumie private companies kuthibitisha hapo tujue ukweli.
Kisa nini hasa? Umempa mtu kazi ya Ubalozi, huyo mtu akajiuzulu. Immediately baada ya kujiuzulu anaanza kuichafua Serikali. Bahati mbaya amekutwa na janga la kutekwa. Hivi kweli Serikali itakayofanya uchunguzi wa nani amemteka itakuwa na akili au matope??

Polepole deserves all that befell upon him. No sympathies
 
polepole mara nyingi amesema yuko nchini kama ana makosa apelekwe mahakamani
Kama alikuwa nchini kwanini hakuitikia wito wa Polisi?? Nayeye ni mtu alikuwa kiongozi mkubwa kwenye chama na Serikali? Hiyo ni collateral damage, kuweni wapole
 
Back
Top Bottom