Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Mkuu,
Mbona Heche kauliza swali la msingi sana, kwamba Uhamiaji waeleze kuwa kwa mujibu wa kumbukumbu zao Polepole aligongewa passport yake mara ya mwisho akiwa anaenda nchi gani?
Hizo taarifa lazima wanazo, tatizo nini?
Wao ndiyo walete hiyo page iliyogongwa muhuri kuonyesha Polepole ameingia lini nchini. Nenda kasome "onus of proof kwenye sheria"
 
Mkuu,
Mbona Heche kauliza swali la msingi sana, kwamba Uhamiaji waeleze kuwa kwa mujibu wa kumbukumbu zao Polepole aligongewa passport yake mara ya mwisho akiwa anaenda nchi gani?
Hizo taarifa lazima wanazo, tatizo nini?
Wao ndiyo walete hiyo page iliyogongwa muhuri kuonyesha Polepole ameingia lini nchini. Nenda kasome "onus of proof kwenye sheria"
 
Polepole aliingia kimya kimya na kujificha na kuanza kuporomosha tuhuma mbalimbali bila ushahidi wowote dhidi ya wanaCCM wenzake .

Tuhuma ya ajabu kabisa ni ile ya kusema hayati Magufuli ameuwawa wakati sote tulikuwa tunajua kuwa anatembea betrii moyoni halafu akairuhusu corona iingie hadi ikulu.
Akili zako zipo kwenye kinyeo, ndio maana mtu wenu anaozoe gerezani
 
Hata JF utaendelea kuniona, hizo kelele za ma KBW (Key Board Warriors) 🎹
Dharau zenu kwetu walipakodi masikini mwisho wake ni tarehe 29 Oktoba.

Kama Mungu aishivyo utayakumbuka haya maneno ukiwa unalia na kusaga meno baada ya utawala wenu wa kifisadi na kidhalimu kuondolewa na Wananchi.
 
Fools can’t argue, so they shout,
They call names, but know no doubt.
Reason fails where anger stays,
Empty words are all they raise.
You are profoundly ignorant and staggering. Do you even bother to think before you write? Your lazy, baseless opinion isn't worth the time it took to utter it. Educate yourself before wasting everyone's time with such nonsense
 
Naona chawa mnapeana shifti ,saivi wameingia wa zamu ya usiku kwa ID zilezile. Bila kulipwa huwezi kushinda jf 24/7 ukijaza server za watu kwa kupigania kuhalalisha jambo hilo hilo
 
You are profoundly ignorant and staggering. Do you even bother to think before you write? Your lazy, baseless opinion isn't worth the time it took to utter it. Educate yourself before wasting everyone's time with such nonsense
An idiot talks when he should hear,
Loud with words, but sense unclear.
He mocks the wise to seem so tall,
But in the end, he proves it all.
 
Huyu Heche sasa hivi anamlaani Mafwele, ila huyo Mafwele kwa mfano aache kazi ya Polisi na ajiunge na CHADEMA, Heche atamtakasa maovu yote.
Hawezi kumtakasa lakini anaweza kumsamehe. Katika maisha yetu, mtu akiacha maovu na kuamua kufuata njia iliyo njema anastahili kupewa second chance. Vinginevyo, kwenda kwetu kanisani, misikitini na kwenye masinagogi ni kupoteza muda!
 
shutterstock_61229197-1024x682.jpg

Kila tukio tukidandia tutaitwa chama cha matukio
 
Mtu "akiichafua" ulimaanisha nini?

Unaweza kuweka hapa uchafu huo uliosemwa juu ya serikali?

Halafu mtu akichafua serikali ndio anavamiwa na kutekwa?

Kwahiyo zile data za mafisadi alizokuwa anatoa ndio kuichafua serikali?


Kutekwa kunakuwaje bahati mbaya?

Kipindi hiki zile story za kujiteka mmeona hazitafit kwenye script hii maana pale kuna damu, mbao za mlango kuvunjwa na vioo na nyaya za ulinzi za umeme zimekatwa?

Nikueleze tu hakuna bahati mbaya watu walikaa wakafanya allocation ya resources juu ya hilo tukio hivyo hakuna bahati mbaya maana hakua safarini akatekwa bali kafuatwa anapoishi.

Hii ulishasema ,hivyo ni ugomvi wako binafsi na kukatwa jina lako 2020 kama ulivyosema hivyo ulitakiwa mmalizane chamani mimi hapa naongelea mambo ya moja kwa moja ya kitaifa

Aliyoyaibua kuhusu utekaji , msururu wake ni mrefu na ilitakiwa tupate uchunguzi huru ambao Samia mwenyewe aliukwepa 2022 katika maridhiano feki ambayo niliyapinga na mimi nisingekuwa na hiyana hata Polepole kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa makosa yake awamu ya tano ila sio huu uhuni wa kumvizia mtu kalala unaenda kuvunja nyumba na kumteka.
Hilo jamaa Stuxnet ni moja wapo ya majizi makubwa. Ndiyo maana linasema eti serikali ilikuwa “inachafuliwa”, kwa hiyo ukisema madudu yanayofanywa na serikali ni kuichafua, na unastahili kutekwa?

Hii nchi haitakuja kuendelea hadi majitu ya aina hii ya Stuxnet yaangamie kabisa.

Halafu linaenda mbali zaidi, linasema eti Polepole alistahili kutekwa — sasa, mahakama ipo kwa kazi gani? Kama ndivyo, bora wafute kabisa mahakama na waanze tu kuvizia na kuteka watu ovyo kama wanavyotaka.
 
I always speak my mind, au umenisahau?

mkuu naona vijana wa chadema wenzio wanakurushia matusi kwa kupishana nao kauli. Hao ndio CHadema ninaowafahamu, wao ni matusi tu na kulazimisha kila wanachoamini wao.
 
Kwahiyo hapa ishu sasa ni kuthinitisha kama aliingia nchini na ndio tuanze kuzungumzia kutekwa kwake. Kwani waliosemekana kutekwa wote passport zao zilionesha kuwa wamenda nje ya mipaka kutafuta maisha?
Akili za usiku
 
Back
Top Bottom