Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Kama Pole pole hawajui kaingia LINI tanzania.tuwaulize yule waliyemchukua kule ununio ni nani?
You have to prove kama walimchukua kwa kuweka evidence hata ya picha. Siyo zile picha kaweka kaka yake zinanyesha meza na matone ya damu
 
Na majirani zake NAO mnataka kusema ni waongo?.
Vipi nyumba iliyovunjwa?
Ile nyumba ya ununio walichukua mtu gani?
 
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba

He who alleges must prove
 
Unamkumbuka shushushu wa Russia aliefia London kwa Polonium 210, Alexander Litvinenko?

Kwani Russia hawakuwa na Mahakama ya kumpeleka?
Kwahiyo wewe unasupport mauaji?

Yule walitakiwa wamfanyie extradition ahukumiwe kwa mujibu wa sheria kama alikuwa afisa usalama na kufanya usaliti ila sio kuunga mkono mauaji.

Wewe huelewi unaposimamia unakataa mauaji muda huo huo unaona sawa watu wakiuwawa hapo kutakuwa kuna haki?

Sasa kila muuaji akiuwawa lini utapata haki na utaua watu wangapi?

Hujui wauaji ni watekelezaji tu wa maelekezo sasa kama wakiuwawa baada ya kuua ila mtoa maelekezo anabaki na anapewa kinga ya mashtaka utakuwa umetibu tatizo?
 
Na majirani zake NAO mnataka kusema ni waongo?.
Vipi nyumba iliyovunjwa?
Ile nyumba ya ununio walichukua mtu gani?
... hayo mazingaombwe hata kwenye mambo yetu ya 'mbina', Ngoma za utamaduni, kule kwetu Mang'wanza, YAPO KWAWINGI KABISA KABISA!
1760286533565.jpeg
 
... ni vita witch doctor!
💀🤣☠️
 
Wewe unanufaikaje kwa kumchukia Samia na kumzushia?!!!
Unaachaje kumchukia mtu katili na muuwaji kama huyo?

Huyo Mama ni shetani linalotembea ,na kibaya zaidi hawezi tu hata kuficha hisia zake , Mama nikatili utadhani ni raia wa kutoka kwa njia zingine .
 
Na majirani zake NAO mnataka kusema ni waongo?.
Vipi nyumba iliyovunjwa?
Ile nyumba ya ununio walichukua mtu gani?
Kwani alirudi toka Cuba?
Kwahiyo wewe unasupport mauaji?

Yule walitakiwa wamfanyie extradition ahukumiwe kwa mujibu wa sheria kama alikuwa afisa usalama na kufanya usaliti ila sio kuunga mkono mauaji.

Wewe huelewi unaposimamia unakataa mauaji muda huo huo unaona sawa watu wakiuwawa hapo kutakuwa kuna haki?

Sasa kila muuaji akiuwawa lini utapata haki na utaua watu wangapi?

Hujui wauaji ni watekelezaji tu wa maelekezo sasa kama wakiuwawa baada ya kuua ila mtoa maelekezo anabaki na anapewa kinga ya mashtaka utakuwa umetibu tatizo?
Undhani Serikali ya Uingereza inge grant extradition ? Wakati wao ndio walikuwa wanufaika kwa Alexander Litvinenko kama double agent??
 
Kwani alirudi toka Cuba?

Undhani Serikali ya Uingereza inge grant extradition ? Wakati wao ndio walikuwa wanufaika kwa Alexander Litvinenko kama double agent??
Hakurudi.ila polisi watuambie Sasa aliyetekwa pale ununio ni nani?
 
Kwani alirudi toka Cuba?
Unahitaji ushahidi upi kuwa alirudi , mimi nakupa ushahidi wa kimazingira ambao niliuona katika video ya ile nyumba na kuweza kuamini ni yeye.

Mosi ni kile kiti alipokuwa akifanyia recording ya live streams.

Viatu vyeupe vile , katika picha mojawapo alipiga akiwa na vile viatu ambapo vipo katika nyumba ile.

Pazia la rangi mojawapo lililoonekana katika zile live stream zake za mwanzo.

Na mwisho kama ndugu ambao wamesema walikuwa wakienda kumtembelea wamethibitisha alikuwepo hapo Tanzania wewe kwanini ubishe?
Undhani Serikali ya Uingereza inge grant extradition ? Wakati wao ndio walikuwa wanufaika kwa Alexander Litvinenko kama double agent??
Una uthibitisho gani alikuwa double agent?

Na unaweza kutoa kitu cha maana kwa Uingereza walichonufaika nacho kutoka kwa afisa huyo kama double agent?

Yaani unataka kusema huyo afisa aliwanufaisha Uingereza kama Eli Cohen akiishi kama double agent Syria alipokuwa akifahamika kama Kamel Amin Thabet ambaye alifikia nafasi hadi ya kushika classified documents ambazo zilikuja kuwa msaada wa kivita na siku za usoni sasa huyu mrusi Litvinenko aliwanufaisha Uingereza kwa kipi?
 
Huyu Heche sasa hivi anamlaani Mafwele, ila huyo Mafwele kwa mfano aache kazi ya Polisi na ajiunge na CHADEMA, Heche atamtakasa maovu yote.
Sasa mbona wapo wengi walitoka upinzani wapo sisimu na mmewakubali,ila kwa huyo muuwaji sidhani.
 
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba

He who alleges must prove
Mimi nitamtetea Polepole maana katupa taarifa nyingi zitakazotusaidia siku za usoni na ndio maana waliona amekua tishio.

Pia Polepole katika moja ya video zake aliomba msamaha wazi , hawa vibaka kuna siku hizi jinai zitajibiwa ni suala la muda.

Kama serikali inasema hajatekwa na wao nachofahamu ofisi ya DCI ndio inajukumu la kutupa sasa majibu ya vinasaba na alama za vidole kwenye ile damu na pia kwenye vitasa .

Serikali wasikimbilie kusema hakuwa yeye na kwamba hakurudi Tanzania nao waonyeshe wamechukua hatua zipi kutupa majibu ya alama hizo.

Wakiona ni ngumu waruhusu familia itumie private companies kuthibitisha hapo tujue ukweli.

Ni very unlikely kusema Polepole atakuwepo maana sio kawaida maana hata ile number yake aliyotoa public ya WhatsApp inaonyesha last seen ni Jumapili 17:02 sasa wanataka kusema tangu Jumapili hajaingia mitandaoni hiyo sio kawaida.
Hivi wewe matako una akili kweli. Wewe na hao police wenu form IV failures mna akili za aina moja, Jumanne Muliro anasema "Kwani Polepole amerudi lini" Kwa hiyo Polepole akirudi awataarifu ninyi mapolisi na watekaji? MBWA NYIE HAMNA AKILI HATA MOJA. Mmeshindwa hata kuelewa Polepole hakusema yupo TANZANIA? Hakutoa clip akiwa CITY CENTER au mna mavi kichwani wewe na Muliro, Faustine Mafwele, na huyo bwana wenu IGP Wambura? Hiyo barua ya kujiuzulu alishawaambia kuwa alitolea akiwa Dar Es Salaam, lakini kwa vile akili yenu ni ya panzi mmeshasahau. Haya sasa mtueleze huyo mliyemnyakua kwenye hiyo nyumba mliyovunja na kupiga risasi CCTV camera ni nani? Fala ninyi hamna akili hata moja na huyo mama yenu bi CHURA KIZIWI bin Kitambi chake. PUMBAVU NYIE.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Keyboard warrior.
 
Hivi wewe matako una akili kweli. Wewe na hao police wenu form IV failures mna akili za aina moja, Jumanne Muliro anasema "Kwani Polepole amerudi lini" Kwa hiyo Polepole akirudi awataarifu ninyi mapolisi na watekaji? MBWA NYIE HAMNA AKILI HATA MOJA. Mmeshindwa hata kuelewa Polepole hakusema yupo TANZANIA? Hakutoa clip akiwa CITY CENTER au mna mavi kichwani wewe na Muliro, Faustine Mafwele, na huyo bwana wenu IGP Wambura? Hiyo barua ya kujiuzulu alishawaambia kuwa alitolea akiwa Dar Es Salaam, lakini kwa vile akili yenu ni ya panzi mmeshasahau. Haya sasa mtueleze huyo mliyemnyakua kwenye hiyo nyumba mliyovunja na kupiga risasi CCTV camera ni nani? Fala ninyi hamna akili hata moja na huyo mama yenu bi CHURA KIZIWI bin Kitambi chake. PUMBAVU NYIE.
Weka hiyo clip ya city centre tuotathmini
 
Unahitaji ushahidi upi kuwa alirudi , mimi nakupa ushahidi wa kimazingira ambao niliuona katika video ya ile nyumba na kuweza kuamini ni yeye.

Mosi ni kile kiti alipokuwa akifanyia recording ya live streams.

Viatu vyeupe vile , katika picha mojawapo alipiga akiwa na vile viatu ambapo vipo katika nyumba ile.

Pazia la rangi mojawapo lililoonekana katika zile live stream zake za mwanzo.

Na mwisho kama ndugu ambao wamesema walikuwa wakienda kumtembelea wamethibitisha alikuwepo hapo Tanzania wewe kwanini ubishe?

Una uthibitisho gani alikuwa double agent?

Na unaweza kutoa kitu cha maana kwa Uingereza walichonufaika nacho kutoka kwa afisa huyo kama double agent?

Yaani unataka kusema huyo afisa aliwanufaisha Uingereza kama Eli Cohen akiishi kama double agent Syria alipokuwa akifahamika kama Kamel Amin Thabet ambaye alifikia nafasi hadi ya kushika classified documents ambazo zilikuja kuwa msaada wa kivita na siku za usoni sasa huyu mrusi Litvinenko aliwanufaisha Uingereza kwa kipi?
Litvinenko alikuwa kanali ndani ya FSB, idara ya usalama wa ndani ya Urusi. Alijihusisha na kitengo cha kupambana na organised crimes, na hivyo alijua mambo ya ndani kuhusu uhusiano wa maafisa wa juu wa FSB na magenge ya kihalifu. Pia operesheni za siri za mauaji, utekaji na kulipua majengo zilizodaiwa kufanywa na FSB ili kuhalalisha vita dhidi Chechnya.

Baada ya kukimbilia Uingereza mwaka 2000, Litvinenko alipata hifadhi ya kisiasa. Akaanza kufanya kazi kwa ajili ya MI6.

Wakati huo huo, alikuwa pia mshauri wa idara ya ujasusi ya Uhispania (CNI) kuhusu mitandao ya fedha ya Urusi na mafia wa Kichechnya waliokuwa wakiwekeza Ulaya.

Kwa hivyo, alikuwa double agent kwa maana kwamba; Aliwahi kuwa afisa wa FSB (upande wa Urusi),

Lakini aligeukia Uingereza na washirika wake wa Ulaya, akitoa taarifa dhidi ya Russia.
 
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba

He who alleges must prove
Kama hakupewa mafao ya kusafirisha mizigo yake ndiyo hawezi kusafiri? Wakati mwingine ni vyema ukatumia ubongo wako kwenye kufikiri kuliko kutumia your behind. Nani alikwambia yupo Cuba? Husikilizi unakurupuka kama mpumbavu, Mizigo na mtu ni vitu viwili tofauti......Anaweza akawa amesafirisha mizigo yake mwenyewe akaambiwa hayuko qualified for reimbursement, pili anaweza kuwa ameacha mizigo yako huko huko akitegemea kusafirisha baadaye lakini serikali ikaweka vikwazo. Pole pole alishasema kuwa yupo Tanzania, akasema alikuwa Morogoro kipindi fulani, police wakawa wamemfukuza, akasema alienda hadi Paje, na akatoa video moja akiwa center center kwenye mnara wa askari. Sasa wewe unajibu kipolisi kama Muliro....Unajidharaulisha....au wewe ndiyo wale watekaji?
 
Weka hiyo clip ya city centre tuotathmini
Nikuwekee Clip ili iweje? Wavivu wa kufikiri...Sina muda huo ku-deal na mijitu isiyofuatilia vitu lakini kelele nyingi. Kama hujaona shauri lako, hainihusu. Mnataka mtafuniwe kila kitu.....Sasa unabisha nini? Akili za Muliro na Mafwele.
 
Kama hakupewa mafao ya kusafirisha mizigo yake ndiyo hawezi kusafiri? Wakati mwingine ni vyema ukatumia ubongo wako kwenye kufikiri kuliko kutumia your behind. Nani alikwambia yupo Cuba? Husikilizi unakurupuka kama mpumbavu, Mizigo na mtu ni vitu viwili tofauti......Anaweza akawa amesafirisha mizigo yake mwenyewe akaambiwa hayuko qualified for reimbursement, pili anaweza kuwa ameacha mizigo yako huko huko akitegemea kusafirisha baadaye lakini serikali ikaweka vikwazo. Pole pole alishasema kuwa yupo Tanzania, akasema alikuwa Morogoro kipindi fulani, police wakawa wamemfukuza, akasema alienda hadi Paje, na akatoa video moja akiwa center center kwenye mnara wa askari. Sasa wewe unajibu kipolisi kama Muliro....Unajidharaulisha....au wewe ndiyo wale watekaji?
Kumbe alikuwa anacheza ngoma ya kibemasa (hide and seek) na chombo cha dola?? Amekula jeuri yake!! No sympathies
 
Back
Top Bottom