Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

Kisa nini hasa? Umempa mtu kazi ya Ubalozi, huyo mtu akajiuzulu. Immediately baada ya kujiuzulu anaanza kuichafua Serikali.
Mtu "akiichafua" ulimaanisha nini?

Unaweza kuweka hapa uchafu huo uliosemwa juu ya serikali?

Halafu mtu akichafua serikali ndio anavamiwa na kutekwa?

Kwahiyo zile data za mafisadi alizokuwa anatoa ndio kuichafua serikali?

Bahati mbaya amekutwa na janga la kutekwa. Hivi kweli Serikali itakayofanya uchunguzi wa nani amemteka itakuwa na akili au matope??
Kutekwa kunakuwaje bahati mbaya?

Kipindi hiki zile story za kujiteka mmeona hazitafit kwenye script hii maana pale kuna damu, mbao za mlango kuvunjwa na vioo na nyaya za ulinzi za umeme zimekatwa?

Nikueleze tu hakuna bahati mbaya watu walikaa wakafanya allocation ya resources juu ya hilo tukio hivyo hakuna bahati mbaya maana hakua safarini akatekwa bali kafuatwa anapoishi.
Polepole deserves all that befell upon him. No sympathies
Hii ulishasema ,hivyo ni ugomvi wako binafsi na kukatwa jina lako 2020 kama ulivyosema hivyo ulitakiwa mmalizane chamani mimi hapa naongelea mambo ya moja kwa moja ya kitaifa

Aliyoyaibua kuhusu utekaji , msururu wake ni mrefu na ilitakiwa tupate uchunguzi huru ambao Samia mwenyewe aliukwepa 2022 katika maridhiano feki ambayo niliyapinga na mimi nisingekuwa na hiyana hata Polepole kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa makosa yake awamu ya tano ila sio huu uhuni wa kumvizia mtu kalala unaenda kuvunja nyumba na kumteka.
 
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba

He who alleges must prove
Miaka michache iliopita maneno aina hii yasio na utu yangesemwa na huyo marehemu na wewe siku zako zinakuja utajutia kibri chako kisichokuwa na huruma.
 
Kama kweli hawa chawa wote mtandaoni wamefungiwa sehemu wanalipwa kwa kazi hii basi taifa linapoteza fedhs nyingi sana za bure. Pesa za kuwalipa chawa zingetumika kuboresha huduma za kijamii
Huo ni udhaifu wa fikra kudhani kila anayempinga Polepole amelipwa na Serikali. Mimi namchukia kwa sababu zangu binafsi
 
I don't care, you deserve my middle finger
Screenshot_20250528_101647_Google.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
polepole mara nyingi amesema yuko nchini kama ana makosa apelekwe mahakamani
Umesahau kuwa Polisi walimuambia aende akaripoti kituoni? Hivi duniani kuna Polisi gani ambayo itakudekeza hivyo?

Labda kanisa la Kipentekoste, lakini Polisi hapana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba

He who alleges must prove
Shetani hana rafiki. When your turn comes, you’ll understand what Heche meant!
 
Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!!
Mkuu,
Mbona Heche kauliza swali la msingi sana, kwamba Uhamiaji waeleze kuwa kwa mujibu wa kumbukumbu zao Polepole aligongewa passport yake mara ya mwisho akiwa anaenda nchi gani?
Hizo taarifa lazima wanazo, tatizo nini?
 
Huu mwaka ni Mgumu sana sana , Mungu yupo kazini kupambania Taifa hili , sio kauli yangu ila yeye tu mmiliki wa taifa hili ,yeye alie tuleta Duniani na kutuchukua pale apendapo ,

Mungu saidia Taifa langu na watu wake
 
Miaka michache iliopita maneno aina hii yasio na utu yangesemwa na huyo marehemu na wewe siku zako zinakuja utajutia kibri chako kisichokuwa na huruma.
Mshahara wa dhambi ni mauti, muache alipwe sawasawa na vitendo vyake
 
Back
Top Bottom