Utakuta watu kama nyie kodi hamlipi ila mnataka kodi ziwanufaishe nyie.Magufuli asingelazimisha kununua midege isiyokuwa na faida yoyote kwetu malalamiko haya yasingekuwepo.h
Katika miaka mitano ijayo Magufuli amepanga kutumia billion 490 kununua ndege mpya toka kwa mabeberu.
Sasa hebu jiulize billion 490 zinaweza kukamilisha miradi mingapi ya maendeleo hapa nchini? kwanini wanalazimisha kununua ndege kama hakuna upigaji?
Hahahaha dah,nikiiona na kuisikiliza hii clip nacheka sana,hapa nahisi mapepo ya Chidy Boy yalimwingia.
Dah asee kweli upinzani upo ,yani ununue ndege leo then kesho zianze safari unadhani hizo ni sawa na Hice ,usafiri wa anga unataratibu zake nadhani utakuwa shahidi kuna mikoa hata hizo ndege za ATCL zilikuwa hazifiki ila sasa zinafika na usiseme tu kuwa zinaenda wapi utakuwa ni muongo.Hizo ndege zimeenda Nchi zipi prime zinazoleta watalii wengi hapa Nchini?
Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
Utakuta watu kama nyie kodi hamlipi ila mnataka kodi ziwanufaishe nyie.
Kama hupandi ndege ni wewe
Tena mbovu haswaTuna rais wa ajabu haijawahi kutokea
Hii ni rushwa ktk uchaguzi, na si mara moja katoa. Hajakemewa hata mara moja. Ingekuwa ni hoja ya kwa nini hazijaletwa wakati zilipangwa, si kosa. Kitabu kinacho andikwa rafu za Magufuli kwenye kampeni, cha kwanza kimejaa na kufungwa.Leo Dkt Magufuli alimtafuta waziri Jaffo kwenye simu lakini hakupatikana na kuamua kumtafuta katibu mkuu na mazungumzo yao yalikuwa hivi.
MAGUFULI: Katibu mkuu hujambo?
NYAMHANGA: Sijambo, shikamoo mheshimiwa Rais
MAGUFULI: Marahaba, habari yako injinia Nyamhanga
NYAMHANGA: Salama mheshimiwa Rais, hongera kwa kampeni
MAGUFULI: Nilikuwa namtafuta waziri wako, waziri Jaffo naona hapatikani kwenye simu.
NYAMHANGA: Atakuwa kwenye kampeni huko Kisarawe.
MAGUFULI: Sasa natoa maagizo hapa, leo niko Hedaru, nimekuta kuna kituo cha afya hapa kina wodi ya kulaza wakinamama na akina baba, hakina wodi ya kufanyia operesheni, hakuna maeneo ya kuhifadhi maiti lakini hakuna X-Ray na vitu vingine.
Nimetoa maagizo mlete Tshs milioni 100(Wananchi shangwe). Na hiyo mjulishe huyo waziri wako, milioni 100 zije hapa Hedaru mfanye ukarabati na kuongeza majengo yote ya wodi ili wana Hedaru operesheni ziwe zinafanyika hapa.
NYAMHANGA: Sawa mheshimiwa Rais
MAGUFULI: Umenielewa katibu mkuu
NYAMHANGA: Nimekuelewa mheshimiwa Rais
MWISHO WA MAONGEZI
============
MAGUFULULI: Ndugu zangu mimi nimemaliza ahadi niliyoitoa, nimeitoa jua linawaka na hii hospitali itakapokamilika nitakuja kushughulikia lakini sera nyingine ya maji na nini nayo tunaendelea kuyashughulikia, nawashukuru sana Mungu awajaalie. Wangapi mtanipa kura lakini?
Akili fupi unashindwa kuelewa kwamba hizo 490 B ndani ya miaka miwili zinaweza kusababisha 1Trilioni? Kupitia ndege tunaweza kupata watalii ambao watalipa tozo za utalii, watalipa nauli ya ndege, hoteli zitafanya biashara na kutoa kodi. Achilia mbali ajira kwa tour guide, ajira kwa wafanyakazi wa ndege ajira kwenye hoteli.Magufuli asingelazimisha kununua midege isiyokuwa na faida yoyote kwetu malalamiko haya yasingekuwepo.h
Katika miaka mitano ijayo Magufuli amepanga kutumia billion 490 kununua ndege mpya toka kwa mabeberu.
Sasa hebu jiulize billion 490 zinaweza kukamilisha miradi mingapi ya maendeleo hapa nchini? kwanini wanalazimisha kununua ndege kama hakuna upigaji?
Huku mikoani kwa mpango wa 'force account's darasa moja linajengwa kwa sh 7m. Hiyo 490b ni madarasa 70e! Itapunguza sana uhaba wa madarasa.Magufuli asingelazimisha kununua midege isiyokuwa na faida yoyote kwetu malalamiko haya yasingekuwepo.h
Katika miaka mitano ijayo Magufuli amepanga kutumia billion 490 kununua ndege mpya toka kwa mabeberu.
Sasa hebu jiulize billion 490 zinaweza kukamilisha miradi mingapi ya maendeleo hapa nchini? kwanini wanalazimisha kununua ndege kama hakuna upigaji?
Hovyo kabisa....
Hiyo milioni 100 ni rushwa. TAKUKURU ng'ataaa
28/10 pigachini mtuHii ni rushwa ya wazi wazi lakini NEC hawalioni hili, ukiangalia suala la Kituo cha Afya Hedaru ni la muda mrefu idadi ya watu iliyopo na uwezo kituo haviendani, inatakiwa pajengwe kituo kingine cha afya viwe viwili kuhusu mochwari ni lazima watu wanapeleka maiti Same bonde lote la Hedaru na viunga vyake.
Pamoja na changamoto zilizopo Hedaru haihalalishi dhambi ya kutoa hii rushwa ili apewe kura tena, Changamoto za Hedaru ni za miaka yote alikuwa wapi huyu mzee.
Alikuwepo mwenyekiti wa kijiji kupitia CHADEMA alifanya makubwa sana mkuu wa wilaya na viongozi wa CCM wakafanya figisu wakamtoa kwa nguvu.
Anachodhihirisha Magufuli kwa watu ni mzembe wa kuona matatizo ya jamii, mtoa rushwa mkubwa na mwenye uchu wa madaraka hafai tena