Wanakuambia tume ipo HURU! HURU kuadhibu wapinzani.NEC mpo? Angalieni kanuni zenu halafu mpate kigugumizi!
Yaani Rais anaagiza tu hela zipelekwe huko kirahisi rahisi hivyo?
Matumizi ya serikali si huwa yanapangiwa bajeti?
Kashinda tayari - wafanyakazi (ganzi), wakulima (ganzi), wafugaji (ganzi), wafanyabiashara (ganzi) - Tanzanian community ganzi.
28 tunashinda
Nyumba walizojengewa Rais Kikwete na Mzee Mwinyi zina thamani zaidi ya milioni 100Magufuli asingelazimisha kununua midege isiyokuwa na faida yoyote kwetu malalamiko haya yasingekuwepo.h
Katika miaka mitano ijayo Magufuli amepanga kutumia billion 490 kununua ndege mpya toka kwa mabeberu.
Sasa hebu jiulize billion 490 zinaweza kukamilisha miradi mingapi ya maendeleo hapa nchini? kwanini wanalazimisha kununua ndege kama hakuna upigaji?
Milioni 100 ikamalizie majengo, ijenge sehemu ya kuhifadhia maiti, Ikanunue Xray si ndio baadae utakuja kumtumbua mtu useme amejenga chini ya kiwango na kununua mashine mbovu!
Let us be serious guys!
Haya maigizo yataisha lini!
Takukuru!
Hii nchi ina tatizo kubwa sana la kiutawala na kifedha.
Kwahiyo huyo magufuli anataka kusema kwamba leo asingefika hapo hiyo hospitali ingeendelea milele kutokuwa na mashine ya X RAY na sehemu ya kuhifadhia maiti?
Huu ujinga hauwezi kuisadia nchi tunajidanganya wenyewe.
Nchi lazima iwe na mifumo ya kifedha na kitaasisi kujiendesha yenyewe bila kutegemea hisani za magufuli.
Na hii haitawezekana kama fedha zote ziko miguuni kwa magufuli.
Rais tunaomba choo, Rais tunaomba kisima, Rais tunaomba sijui nini.
Tunajidanganya wenyewe, hatumdanganyi yeyote.
Jamaa kawapiga fix halafu Hedaru wale wasambaa mafala sana Eti wanashangiliaHiyo milioni 100 ni rushwa. TAKUKURU ng'ataaa
Amechelewa.It's already TOO LATE to catch the Airplane!
Huu si wakati wa kutoa maagizo ya kiwendawazimu kupitia simu!! Miaka 5 alikuwa wapi kupeleka hizo Milioni 100 za Ukarabati?
Magufuli aache cheap politics!
Si wakati wa campaign.Hakuna rushwa hapo,JPM anakofia mbili,anafanya kazi yake kama rais huku anapiga kampeni.
Kwani zamani kulikuwa hakuna ndege za kusafiria au umeanza kusafiri 2017.Siyo hivyo, sisi watumiaji wa ndege zinaturahisishia sana
Si amechelewa tu Bali amevunja wazi kabisa Sheria ya uchaguzi. Anapaswa kuwekewa pingamizi.Amechelewa.
Unadhani wengine hawakuwa na kofia mbili, au kofia mbili zimeanza 2015. Busara katika uongozi ni kitu cha msingi sana, jambo ambalo huyu limbukeni wa chato hana.Hakuna rushwa hapo,JPM anakofia mbili,anafanya kazi yake kama rais huku anapiga kampeni.