binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mlumumba darasa la nne failure, mwalimu wako hajakufundisha kuwa kila mtanzania analipa kodi? Hata yule mtoto mwenye sh.mia anayeenda kununua peremende dukani?Utakuta watu kama nyie kodi hamlipi ila mnataka kodi ziwanufaishe nyie.
Kama hupandi ndege ni wewe
Huyu ni Rais gani asiyejua sheria za uchaguzi? NEC mpo wapi? Wewe Mahera una uwezo kweli wa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mkuu!?!Yaani Rais anaagiza tu hela zipelekwe huko kirahisi rahisi hivyo?
Matumizi ya serikali si huwa yanapangiwa bajeti?
Wee mjinga hata mlango wa ndege huujui eti zinakusaidiaSiyo hivyo, sisi watumiaji wa ndege zinaturahisishia sana
Halafu unamsikia Jaji Warioba anasema, JPM kajitahidi sana KUPAMBANA NA RUSHWA!Mbona hii ni rushwa wazi wazi na imekatazwa kwenye sheria za uchaguzi!
Kapigeni propaganda hizi kwa mabeki tatu wenzako,kwa wale wenzako wa "red light district" na kwa wavaa madera wenzako wa Buza.View attachment 1606302
View attachment 1606303View attachment 1606305
View attachment 1606306
Huyu ndio hovyo mara 1000.Hamna hata aibu kuhadaa watanzania.
Na NEC hawata kemea hili. Watakaa kimya. Subiri Lissu ampe mama mjane elfu kumi ya kumnunulia mtoto daftari.. Mhhh hata mashetani watasikia.Hiyo milioni 100 ni rushwa. TAKUKURU ng'ataaa
Kwa kweli miluzi mingi humpoteza mbwa ,kwa hiyo sekta ya utalii inachochewa na miundo mbinu ipi?
Ndege ni uwekezaji wa kibiashara kama zilivyo biashara zingine ambazo hata wewe ungefanya mfano kuliko kupokea mshahara wa mwezi kununua chakula na malazi ukautumia kuwekeza kununua shamba hivi kweli shamba linaweza kuwa halina faida kwa familia yako iwe sasa au baadae? JPM ilani imemtaka kuboresha shirika la ndege unadhani angeboreshaje na alikuta ndege 1 mbovu.
Hivi unataka kusema viwanda vya Dar vinatunufaisha vipi sisi tuliopo Chongoleani Tanga na Dhahabu iliyo Geita ina manufaa gani kwa watu ,jibu nijepesi miradi yote ya Serikali sio mali ya mtu binafsi bali ni ya Umma hizo pesa zote zinaenda kwenye kapu moja ndilo ambalo linasaidia miradi ya ujenzi Zahati na barabara.
Hivi hujui mradi wa Ziwa victoria kwenda Tabora umefikia wapi,na ule mradi wa Arusha mabilioni unayajua ni mangapi na huku Miradi mingi ya Dar ikiwa ni Trillion of money leo unapiga kelele ndege ambazo ni uhuduma ya kuchochea sekta zingine kukua pia kama Utalii na Usafirishaji.
Nahisi wewe utakuwa umekula age haya sio mawazo ya kijana wa kisasa maana teknolojia inaenda kasi sana sio vibaya na sisi kwenda kama dunia inavyoenda kuwa Bullet train ,Ndege majengo ya kisasa kwenhe miji yetu n.k ,nadhani umeona kwa wenzetu train zao zinavyowakera kwa sababu ya mawazo machache ya washamba kama wewe kwa dunia ya sasa huwezi kuponda ununuaji wa Ndege.
Nchi za wenzetu umeme sio tatizo lakini utakuta mtu yupo village ana mashamba yake kapiga Panel za solar hakuna shida kabisa ila hapa ni malalamiko mnawekewa Bwawa la umeme mnarudisha kelele za tungeanza gesi .
Nimenyoosha mikono Tanzania bila Magufuli tukapata wanaoyumbishwa maendeleo tutayasikia kwingine.
*Magufuli 5 tena*
Bajeti ya 2020-2021 haijapitishwa? Au watanzania huwa mnafumba macho!Yaani Rais anaagiza tu hela zipelekwe huko kirahisi rahisi hivyo?
Matumizi ya serikali si huwa yanapangiwa bajeti?
Hata Jakaya na wengine walifanya hivi,sema ulikuwa hufuatilii siasa.Unadhani wengine hawakuwa na kofia mbili, au kofia mbili zimeanza 2015. Busara katika uongozi ni kitu cha msingi sana, jambo ambalo huyu limbukeni wa chato hana.
Ndugu umeongea sana nmekuelewa hivi kosa la nchi kukosa ndege ni la nani maana tangu mm nazaliwa cjawahiona chama kingine kinakuwa madarakank tofauti na ccm?Kwa kweli miluzi mingi humpoteza mbwa ,kwa hiyo sekta ya utalii inachochewa na miundo mbinu ipi?
Ndege ni uwekezaji wa kibiashara kama zilivyo biashara zingine ambazo hata wewe ungefanya mfano kuliko kupokea mshahara wa mwezi kununua chakula na malazi ukautumia kuwekeza kununua shamba hivi kweli shamba linaweza kuwa halina faida kwa familia yako iwe sasa au baadae? JPM ilani imemtaka kuboresha shirika la ndege unadhani angeboreshaje na alikuta ndege 1 mbovu.
Hivi unataka kusema viwanda vya Dar vinatunufaisha vipi sisi tuliopo Chongoleani Tanga na Dhahabu iliyo Geita ina manufaa gani kwa watu ,jibu nijepesi miradi yote ya Serikali sio mali ya mtu binafsi bali ni ya Umma hizo pesa zote zinaenda kwenye kapu moja ndilo ambalo linasaidia miradi ya ujenzi Zahati na barabara.
Hivi hujui mradi wa Ziwa victoria kwenda Tabora umefikia wapi,na ule mradi wa Arusha mabilioni unayajua ni mangapi na huku Miradi mingi ya Dar ikiwa ni Trillion of money leo unapiga kelele ndege ambazo ni uhuduma ya kuchochea sekta zingine kukua pia kama Utalii na Usafirishaji.
Nahisi wewe utakuwa umekula age haya sio mawazo ya kijana wa kisasa maana teknolojia inaenda kasi sana sio vibaya na sisi kwenda kama dunia inavyoenda kuwa Bullet train ,Ndege majengo ya kisasa kwenhe miji yetu n.k ,nadhani umeona kwa wenzetu train zao zinavyowakera kwa sababu ya mawazo machache ya washamba kama wewe kwa dunia ya sasa huwezi kuponda ununuaji wa Ndege.
Nchi za wenzetu umeme sio tatizo lakini utakuta mtu yupo village ana mashamba yake kapiga Panel za solar hakuna shida kabisa ila hapa ni malalamiko mnawekewa Bwawa la umeme mnarudisha kelele za tungeanza gesi .
Nimenyoosha mikono Tanzania bila Magufuli tukapata wanaoyumbishwa maendeleo tutayasikia kwingine.
*Magufuli 5 tena*
Acha uongo wewe!Hata Jakaya na wengine walifanya hivi,sema ulikuwa hufuatilii siasa.
Jamaa keshapoteana, yupo sooo desperate now. Wakati anatoa rushwa Tanga kule alikopita mwanzo wameshamkataa na Lissu Bado anashindilia mispana. Tutaona mengi Siku hizi 6 zilizobaki.Leo Dkt Magufuli alimtafuta waziri Jaffo kwenye simu lakini hakupatikana na kuamua kumtafuta katibu mkuu na mazungumzo yao yalikuwa hivi.
MAGUFULI: Katibu mkuu hujambo?
NYAMHANGA: Sijambo, shikamoo mheshimiwa Rais
MAGUFULI: Marahaba, habari yako injinia Nyamhanga
NYAMHANGA: Salama mheshimiwa Rais, hongera kwa kampeni
MAGUFULI: Nilikuwa namtafuta waziri wako, waziri Jaffo naona hapatikani kwenye simu.
NYAMHANGA: Atakuwa kwenye kampeni huko Kisarawe.
MAGUFULI: Sasa natoa maagizo hapa, leo niko Hedaru, nimekuta kuna kituo cha afya hapa kina wodi ya kulaza wakinamama na akina baba, hakina wodi ya kufanyia operesheni, hakuna maeneo ya kuhifadhi maiti lakini hakuna X-Ray na vitu vingine.
Nimetoa maagizo mlete Tshs milioni 100(Wananchi shangwe). Na hiyo mjulishe huyo waziri wako, milioni 100 zije hapa Hedaru mfanye ukarabati na kuongeza majengo yote ya wodi ili wana Hedaru operesheni ziwe zinafanyika hapa.
NYAMHANGA: Sawa mheshimiwa Rais
MAGUFULI: Umenielewa katibu mkuu
NYAMHANGA: Nimekuelewa mheshimiwa Rais
MWISHO WA MAONGEZI
============
MAGUFULULI: Ndugu zangu mimi nimemaliza ahadi niliyoitoa, nimeitoa jua linawaka na hii hospitali itakapokamilika nitakuja kushughulikia lakini sera nyingine ya maji na nini nayo tunaendelea kuyashughulikia, nawashukuru sana Mungu awajaalie. Wangapi mtanipa kura lakini?