Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
wewe kwani ile rumbesa ilikuwa ya nani?
Heaven on earth nimeeka ''L'' Bofya hiyo l
haaa! inamaana kumbe kuna watu wana nguvu kuliko mkulu?
basi muniwache nipumue mtoto wa mwenzenu......... Mujini hapa, kila mtu na life yake
wanansingizia eti nazungusha unga nchi jirani
lakini je ni kweli ulinaswa ? au ni uongo wa media
Nimeiomna ila watakuwa wanamsingizia wifi yangu
hii sasa itakuwa balaa ya mwaka yaani mkaguzi na leo zake anakaguliwa?
wanansingizia eti nazungusha unga nchi jirani
Ngoja niwasiliane na Mrembo by Nature akuweke kwenye ile orodha ya akina kaka voda milionea na kati ya kino klein..
Lady doctor akitoka huko hata Arushaone atakua kakinaiSipati picha watavyo mfunuafunua, si unajua tena siku mwosha akiwa anaoshwa...
usiwasahau wa dodoma wana njaa sana kwa sasa..
unga utawapa shibe kidogo..
haa! jamani mbona kashfa nzito hizi!
hii sasa itakuwa balaa ya mwaka yaani mkaguzi na leo zake anakaguliwa?
We unamuona Lady doctor yeye mwepesi...???
Sipati picha watavyo mfunuafunua, si unajua tena siku mwosha akiwa anaoshwa...