figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
haya bhana....nyie ndiyo wala nji hii
jamani jamani, mkiendelea kunisema nafichua siri, nisije nikafanywa kama masogange buree
sio wewe tu unae mnyali tupo wengi mno,ila kumbe na yeye Baba V kuna watu hapa cht cht anawaogopa kinoma huwa akiwaona tu kitu cha kwa ni kutoa shikamoo
hahahaaaa!!akiwaona anawapa
shikamoo muzee hata kama ni vijana sio?
kina nani hao hebu ninong'oneze niunge nao urafiki!!
pasua jipu,wataje wote "mapunda wa madawa"
hahahaaaa!!kuuuumbeeee mi nili4get pacha!!pacha na wewe, kwani umesahau hilo njemba ananinyenyekeaga kwasababu ya..............!!!!!!!!!
​nitajie bana simwambii mtu!!si wale ambao wameiweka serikali yake mfukoni??
Passion Lady busti kichwa chako na kiroba
nina list ndeefu sana