chumbani
mie nadhani tunaenda sote mi na wewe?
mie nadhani tunaenda sote mi na wewe?
wanansingizia eti nazungusha unga nchi jirani
wanansingizia eti nazungusha unga nchi jirani
pole sana jamani amekufanya hivyo mwachie Mungu ndiye ajuaye
yaani baada ya siri kuvuja kwamba wewe ni kigogo serikali wanataka kukupaka matope!?. washindwe na walegee watetemeke waanguke chini. mia
mzee wa mia nawewe inasemekana biashara zako ni zile za kuwa safirisha twiga., nikuulize swali hivi? huwa mnawaingizaje kwenye ndege? maana ni warefu sana au ndege huwa mnaitoboa juu ili kishwa kitoke nje?yaani baada ya siri kuvuja kwamba wewe ni kigogo serikali wanataka kukupaka matope!?. washindwe na walegee watetemeke waanguke chini. mia
eti pacha huo unga
ni sembe au dona,niletee
na mimi hua natumia nikuungishe!!
umeona sasa nawewe kwa kujishuku
angamizo litaanzia kwenu kwanza, unga muuze wenyewe na kujikosha mjikoshe ???......... hahahah
angamizo litaanzia kwenu kwanza, unga muuze wenyewe na kujikosha mjikoshe ???......... hahahah
hapana Baba V ndo mbeya mie ni msukuma