kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
nzito kweli ndugu yangu, hivi kwa unavyoniona naweza kweli kufanya huo ufedhuli?
kwa macho ya kawaida huwezi kuona...
nzito kweli ndugu yangu, hivi kwa unavyoniona naweza kweli kufanya huo ufedhuli?
usiwasahau wa dodoma wana njaa sana kwa sasa..
unga utawapa shibe kidogo..
Lady doctor akitoka huko hata Arushaone atakua kakinai
ama kweli wewe Lady doctor ni toto ya mujini yaani kitanzi kimekukwepa??? lol sina hamu na Baba V na timu yake
embu sikia anavyo sema:tape::tape::tape: link hapo chini kwenye ''L''
L
enhee nilikuwaje yeye abebe miko ya kusongea ugali afu wewe ubebe unga?
halafu wewe ndo nini kutumbia tubonye hapo kwenye link halafu hamna chochote, umekamatwa wapi wewe
kwa macho ya kawaida huwezi kuona...
cousin, hebu ona watu wanavyo nichafua bila sababu maalum
pole my cousin hao watu lengo lao kuu ni kuona familia ya watu8 inasambaratika nasi tumetambua lengo lao washindwe na kulegea kisha wakatupwe baharini wazimawazima
hata ya rohoni pia we niangalie halafu unipe jibu
hehehehehe hahahahahah haaaa jamani my cousin hujui kuwa Baba V ni kiongozi wa cc? kwani amekufanyaje?
kwa weli hata rohoni bi dada bado ni ngumu...
cousin aliyonifanyia huyo mzee ni makubwa sana, aliniomba nimsaidie mzigo wake airport ghafla nikaona maaskari hao, wakaanza kunitia pingu eti nimebeba unga wakati huo Baba V hakuonekana mpaka naachiwa.
pabaya sana si pa kuongelea hapa