hee....... lady doctor amenusulika na hiki kikombe ?...

pole my cousin hao watu lengo lao kuu ni kuona familia ya watu8 inasambaratika nasi tumetambua lengo lao washindwe na kulegea kisha wakatupwe baharini wazimawazima

cousin nakuhakikishia lengo lao lazima lipate division 0, sie tuko ngangali hata wafanyeje, hawawezi kutusambaratisha.. Huyu Baba V na Slave wakafie huko.
 
Last edited by a moderator:
hehehehehe hahahahahah haaaa jamani my cousin hujui kuwa Baba V ni kiongozi wa cc? kwani amekufanyaje?

cousin aliyonifanyia huyo mzee ni makubwa sana, aliniomba nimsaidie mzigo wake airport ghafla nikaona maaskari hao, wakaanza kunitia pingu eti nimebeba unga wakati huo Baba V hakuonekana mpaka naachiwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…