Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

Ukifka MWIME pale KAHAMA yaan madem wote wana ngeu wakiingia gest bubu n kama vita yaan kanda ya ziwa kama n mgeni unapakimbia ulifka chimbon huko wanazengo wanafanya mapenzi hadi HADHARANI..!!!
Hii nikweli kabisa niliona chizi anapigwa machine na jemba mbili. Kwa sababu ilikuwa Chocho nilihofia usalama wangu nikatokomea
 
Nimekaa machimboni sana sijawahi kuona chumba Cha elfu 30 mkuu...... Hapo umetuleta kati
Pale nyangarata vilkuwepo vyumba 30k Tena vyumba 5 tu na vilikuwa be hukuliwa na makota. Huko kwingine kote sijawahi ona tofauti na nyangarata. Pia kama chimbo limebamba ni ngumu kujua Kila kitu.
 
Kitunda nilikua nakuja asubuhi , usiku naenda kulala mission, itumbi, nyangarata, nyanzaga, kiwanja, saza , ukweli kama mpambanaji haukuwahi kupita machimboni bado unakua kama underground , haujui timba ni nini, fonga/fonka, vikole, Azam mifuko, karasha, Mercury , mwalo baadhi ya terms , mchimbaji anatembea hakuna mchezo akisikia Dar pori , mbinga mbinguni nae yupo, akisikia mpanda kama kawaida kafika, mnakua wengi wengi hupata na wengi hukosa , mwisho wa siku mfanyabiashara ndio anapata hela , wengine zinaishia kwenye starehe , hadi Makota wanaendekeza starehe wanaishiwa
Sikupingi mkuu starehe iliyoko huko ni ya Dunia ingine
 
Yeah kule ndio utakutana na watu wameshajichoka huku duniani.

Kama hujawahi kukutana na mabroke hii dunia basi nenda mgodini, watu hawana kitu kabisa mpaka fegi mtu anagongea.
Kuna muda bangi inavutwa kama bila kificho na askari anapita Wala hajari
Yaani kuna kuwa vijiwe vinavyofahamila kabisa Kwa kuuza bangi na kuvutia.
 
Naskia madem wa kanda ya ziwa hamna cha romance sijui denda kumuandaa sijui nini. Yani mkishakubaliana ni kuvuana nguo na kukutupa kitandani halafu style moja tu kifo cha mende (missionary) ukimfikisha kileleni anakunyuka makwenzi ya kutosha na kukung'atang'ata huku akipiga yowe la hatariii.
Story hizo mkuu
 
Back
Top Bottom