Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

Ukifka MWIME pale KAHAMA yaan madem wote wana ngeu wakiingia gest bubu n kama vita yaan kanda ya ziwa kama n mgeni unapakimbia ulifka chimbon huko wanazengo wanafanya mapenzi hadi HADHARANI..!!!
Hii nikweli kabisa niliona chizi anapigwa machine na jemba mbili. Kwa sababu ilikuwa Chocho nilihofia usalama wangu nikatokomea
 
Nimekaa machimboni sana sijawahi kuona chumba Cha elfu 30 mkuu...... Hapo umetuleta kati
Pale nyangarata vilkuwepo vyumba 30k Tena vyumba 5 tu na vilikuwa be hukuliwa na makota. Huko kwingine kote sijawahi ona tofauti na nyangarata. Pia kama chimbo limebamba ni ngumu kujua Kila kitu.
 
Sikupingi mkuu starehe iliyoko huko ni ya Dunia ingine
 
Yeah kule ndio utakutana na watu wameshajichoka huku duniani.

Kama hujawahi kukutana na mabroke hii dunia basi nenda mgodini, watu hawana kitu kabisa mpaka fegi mtu anagongea.
Kuna muda bangi inavutwa kama bila kificho na askari anapita Wala hajari
Yaani kuna kuwa vijiwe vinavyofahamila kabisa Kwa kuuza bangi na kuvutia.
 
Story hizo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…