Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

Ila mkuu hujagusia kipande muhimu sana cha huduma za afya

Je ukipata maradhi inakuwaje?? Vipi kuhusu ajali za hapa na pale
je kuna madaktari au ndio kila mtu tabibu
Vipi kuhusu vipimo na check up za kiafya

Vipi huduma ya kwanza? Na masuala mengine kama hiyo

Mwisho wa yote vipi kuhusu sayansi nyeusi? Masuala ya ulozi,kinga, ti a, makafara n.k
 
Hata gest za mjin kama kahama katoro geita usku kama n mgeni utalala macho watu wanapga kelele kama wanauwana kanda ya ziwa hakuna mapenzi ya msalie mtume ...na kwel hakunaga romance huku huku n MOTO JUU YA MOTO
 
Hii story sio mchezo, sijawahi kufanya kazi migodini, Ila kwenye mishe mishe zangu za kutafuta shilingi, nimefika kakola, kalumwa, Nyalubezi/kahama huko nimekutana sana na wachimbaji wadogo,
Nilipofika kalumwa, nikaagiza msosi,sasa Yale maji ya kunawa,yana rangi kama chai ya maziwa, wao wanayanywa bila shida, mie kunawa tu, niliugua typhoid balaa, ilibidi nirudi Mwanza kwanza kuugulia! Wabongo wanapiga kazi aisee!heshimakwao.
 
Ni vile tu serikali zetu dhaifu sana ila utitiri wote huo machimboni ni hela nzuri tu kwa serikali km kungekuwa na utaratibu mnzuri na wa kistaarabu.
 
umenikumbusha kalole,ishokela,dutwa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…