Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

Harakati za pori/machimboni ngumu sana kama ndo kwanza unaanza kufika huko

Kuhusu swala la chakula kwa mama ntilie siyo wote,kuna migahawa baadhi misafi na chakula chao kipo safi kabisa

Mfano pale mwime kuna mgahawa wa shangazi pako vizuri na pale kwa ndanganya pako safi na pale kilimbole kuna nyama choma na ugali safi kabisa.

Kuhusu kugegedana hilo sikatai,wachimbaji wanagegedana mno na hasa ukute kauze zake mawe ya kwenye soksi au bobmale
 
Nimeishi machimboni na ziwani pote maisha yao yanafanana starehe vurugu na ukimwi kama wote

Upande wa migodini nimeishi kakola,nyangarata,nyakagwe,nyandorwa,isonda,bugarama,nyarugusu ,igarula

Upande wa ziwani nimewahi kufanya biashara ya dagaa visiwa vya ziwa victoria kama bwiro,kunene ,gana ,goziba.
Ila maisha haya jamani yanatufikisha mbali.


Kiufupi wanaume tumeumbiwa mateso.

Huko ukiwatombatomba ukimwi ni wakufikia.
NIMWENDO WA KUGARAGARA.
 
Mkuu Kuna pharmacy tu ambazo hutoa huduma ya kwanza. Ajari ni nyingi sana humo maduarani. Wingi wa ajari hutokana na chimbo Hadi chimbo.

Wengi wao huamini kuwa duara likua watu au damu zikatoka basi watapata Mali sana duara hiyo. Hii pia huendana na kafara vilevile.
Ulozi sio wa kuuliza ni jambo hufanyika muda wowote ule.

Kama wewe ni mpitaji tu hutokana uelewe.
 
Na hapo upo karumwa pale ni mjini ujue mkuu ni makao makuu ya wilaya ya nyang'hwale. Hayo maji Huwa wanachota kwenye visima vya wazi kama bwawa fisi huogea humo mara nyingi. Binafisi nimekulia maisha hayo hata nikienda kesho nikikuta nakunywa tu bila shida yoyote.
 
Upande wa migodini nimeishi kakola,nyangarata,nyakagwe,nyandorwa,isonda,bugarama,nyarugusu ,igarula
Mimi pia nyangarata nilikuwepo,kakola,nyakagwe,nyarugusu hata Jana nilkuweko ndo nikaona niandike na hili Kuna chimbo linaitwa nyaruyeye nilienda kuangalia namna Gani ya kuweka ka mradi.

Upande wa Ziwa nilikuwa mgaza chato huko Kuna visiwa vingi tu ila makao yangu yalikuwa hapo mganza
 
Kuhusu swala la chakula kwa mama ntilie siyo wote,kuna migahawa baadhi misafi na chakula chao kipo safi kabisa
Mkuu sijasema kuwa hakuna migahawa mizuri na ya hadhi hapana. Mimi nimesemea hotel za masankuloni hizi Huwa pembeni au kwenye mti mkubwa hawajengi vibanda kama akina mama ntilie wengine. Ndo nilipojikita hasa.Kwa sababu umesema mwime subrine hotels alikuwa analeta msosi pale na gari yake asee hadi pizza ukiagiza alikuwa analeta. Hizo hotel ulizotaja huenda majina Mimi sijui ila ukiwa pale ofisini ya mwime chimboni kama unashuka maduarani mkono wa kushoto na kulia kulikuwa na hoteli xmart sana na chakula Cha hadhi ya juu mno.

Hapo mwime masankuloni yalikuwa juu barabara ya kwenda dampo kulikuwa na mwembe mkubwa sana.

Hapo walikuwa wanauza Kuni na bidhaa zingine. Umenikimbusha mkuu nilkuwa hapo 2017-18!
 
Mbona Bulyambata . Hapa katikati ya Ikina na Nyarugusu jirani na Nyaruyeye hupataji?.
Balaaa lake kwenye mawe umeliona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…