Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kanisa la kwanza watu walitoa dhahabu na walikua hawalalamiki, toeni sadaka wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mtaani masikini ni wengi,matajiri ni asilimua 2 tu nchi nzima,kwanini wawe wengi kanisani!!!Watu ambao wapo kanisani mbona wengi ni maskini
Asilimia kubwa wengi wana maisha ya kawaidaWatu ambao wapo kanisani mbona wengi ni maskini
Upo sahihi ila wao walibarikiwa sanaKanisa la kwanza watu walitoa dhahabu na walikua hawalalamiki, toeni sadaka wakuu
JidanganyeKutooa Sadaka ni muhimu sana kadri unavyotoa kubwa ndio unazidi kufakiwa.
Hii ni kweli wakiumwa wanapata first class treatment.Sadaka Kwa mungu ni matendo mema ndio maana Kuna amri 10 za mungu ishi humo!... Tenda matendo mema uone kama hufanikiwi.
Sadaka fedha ni Mali za wachungaji. Watu wanatoa sadaka halafu wauwaji, watesaji , waongo, wafitini.
Unamchangia mchungaji fedha wewe ukiumwa hata Hela ya Panadol huna. Ukiumwa mchungaji anakuombea. Mchungaji akiumwa unaambiwa toa sadaka akatibiwe zake India. Wajinga ndio waliwao.
Ishi kijanja.
Sadaka toa lakini ukitoa matumizi yako yoteJidanganye