Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusema ukweli huyu mtangzaji wa power break fast yuko vizuri sana I think IQ yake na emotional intelligence yake iko juu sana compared to her colleagues......Big Up Mdada
aiseee kumbe ndiyo huyo.....siku zote nilidhani kadada fulani potabo......LOH
Nikilinganisha na nilivyomuona almost three years ago, naona kwa sasa... sifahamu neno sahihi la kuweka lakini ungemuona wakati huo maelezo yako yasingeishia hapo! In short, ame-improve sana nadhani hiyo picha ni ya miezi ya karibuni au imezidi sana ya 2013!aiseee kumbe ndiyo huyo.....siku zote nilidhani kadada fulani potabo......LOH
Is Barbara or Badra Hassan...?
Nikilinganisha na nilivyomuona almost three years ago, naona kwa sasa... sifahamu neno sahihi la kuweka lakini ungemuona wakati huo maelezo yako yasingeishia hapo! In short, ame-improve sana nadhani hiyo picha ni ya miezi ya karibuni au imezidi sana ya 2013!
You're very right... unajua sijamuona Barbara muda mrefu sana, nimeshangaa sana hizo picha ndo maana am very certain sio picha za zamani sana!Nadhan kajitahidi kupunguza mwili. Kawa mzuri wakati huu. Miaka miwili- mitatu nyuma alikuwa kibonge, halafu naona kwenye picha hii kawa mweupe, labda mambo yetu yale kama ya Snura ambaye kwa sasa ni mweupeeew lakini kwa wanaokumbuka filamu huko zaman kidogo alikuwa mweusi kabisa! Anyway ndo maendeleo hayo, ya artificial beautification!
sure... she's cute voice halafu anajua kutembea nayo, si kwenye kiswahili tu bali hata kwenye kizungu... lazima utampenda! And good enough, sio sauti ya kuilazimisha!Napenda sauti yake kuliko alivyo
sure... she's cute voice halafu anajua kutembea nayo, si kwenye kiswahili tu bali hata kwenye kizungu... lazima utampenda! And good enough, sio sauti ya kuilazimisha!
Mimi mwenyewe nilijua nika mdada fulani???
according voice.