Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Heko Babra Hassan wa Clouds FM

aiseee kumbe ndiyo huyo.....siku zote nilidhani kadada fulani potabo......LOH
Nikilinganisha na nilivyomuona almost three years ago, naona kwa sasa... sifahamu neno sahihi la kuweka lakini ungemuona wakati huo maelezo yako yasingeishia hapo! In short, ame-improve sana nadhani hiyo picha ni ya miezi ya karibuni au imezidi sana ya 2013!
 
Nadhan kajitahidi kupunguza mwili. Kawa mzuri wakati huu. Miaka miwili- mitatu nyuma alikuwa kibonge, halafu naona kwenye picha hii kawa mweupe, labda mambo yetu yale kama ya Snura ambaye kwa sasa ni mweupeeew lakini kwa wanaokumbuka filamu huko zaman kidogo alikuwa mweusi kabisa! Anyway ndo maendeleo hayo, ya artificial beautification!
 
You're very right... unajua sijamuona Barbara muda mrefu sana, nimeshangaa sana hizo picha ndo maana am very certain sio picha za zamani sana!
 
Napenda sauti yake kuliko alivyo
sure... she's cute voice halafu anajua kutembea nayo, si kwenye kiswahili tu bali hata kwenye kizungu... lazima utampenda! And good enough, sio sauti ya kuilazimisha!
 
Ila Hando huwa anampeleka peleka sana huyu bi mdada.....kwangu huwa ni burudani tosha
 
Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike hivi sasa anamfikia kwa sauti nzuri........hawezi kuongea ukabadili station .........ananikumbusha enzi za Christina Mosha (Seven) ........
 
Back
Top Bottom