Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,