GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani zangu Wanyiramba na Wanyaturu mbona na Walimu wengine nao wa hapo hapo nao hukuwatembelea ili labda tuzisikie na D na F zako?
Hata hivyo nikupongeze mno kwa kwenda kuitembelea Shule yako na tunamumba na Boss wako nae Siku aende Kwao Kisiwani Zanzibar akawatembelee Walimu wake waliomfundisha ili nao pia kwa Kutetemeka na Uwoga waseme kwa Kutudanganya kuwa alipata A zote za Utawala Bora na 4R zake.