Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo kwa waha😂
 
Uko sahihi mkuu.
Mwanamke kutoa hela yake ni shughuli pevu.
Hasa anapoona Ana kitu/mtaji wa kumalizana asitoe hiyo pesa
 
Kama huna kifua cha kuoa na kuendelea na maisha usioe maana utakufa mapema.

Malaya ni Malaya hata alindwe na mtutu wa bunduki atapata nafasi ya kuufanya umalaya.......Iwe ni kwa jina la kikoba, uvivu wa mume sijui kibamia, gari Kali au lolote lile Malaya ni malaya.
 
Hahahah hii inamuhusu huyu mrembo wangu witnessj Espy
 
Hao waha wanashida gani?
 
Nimegundua hilo suala na mm nina tabia ya kukinai wake wa watu wa karibu yangu sijawai kuwatamani kimapenzi, kashanikopa Mara mbili ila ananirudishia kwa wakati najua ipo siku atashindwa kunilipa maana ni mama wa nyumban tu.
Ushajiuliza nini kitatokea mumewe akijua wewe unamkopesha hela mkewe?
 
Ni kweli wengi wanapigwa KUPITIA hela ya rejesho. .NAHIS HUWA WANAJISIKIA VIBAYA SANA YAAAN AIBU YA HALI YA KIWANGO CHA SGR AKIONEKANA YEYE NDO HAJAPELEKA HELA.... WIFE NILIMWAMBIA ASIJARIBU,ADUNDULIZE YAKE..
Haya maswala nimegombana na bibie sana. Atleast now amesha secure kazi na anafanya vibiashara kupitia kazini kwa dada yake inani save na ile headache ya kutuma 10K kila siku.
Ugomvi ulikuwa kwanini acheze vicoba ikiwa kazi hana matokeo yake ni usumbufu tu.
 
Walijuana wengine wakagombana kabisa

Nadhani hao waliogombana walitaka wajiweke kwangu permanent
Ulichokuwa unawafanyia ni nini mkuu, hebu tupe mbinu ulijihakikishiaje unyevu yani? Ulikuwa unawakopesha au unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…