Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Niamini mimi,
Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi.
Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na kumrudia.
Kuamini hili swala wewe tembelea mgodini au ziwani kwa wavuvi. Watu wanapiga 10m na kwa sababu mbalimbali ndani ya miezi miwili hana kitu ila anajua atapata tena.
Kwa hio usisubirie bahati, hela za bahati zikija chukua ila usiforce, hela zako za kuhangaika ndio mpango mzima