Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hawana lolote hata hio air force uliona wapi wamepiga Military Strategy Point, hamna lolote wao target zao watoto, wanawake na majumba..Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Sasa bunkers zikikaa kwenye makazi unafanyaje? Tena hao wavaa vipedo wanabahati sana kwamba hupewa taarifa za kuhama kabla ya kusawazishwa, ingekuwa mm na taarifa sikupi napiga mpaka paka wako.Hawana lolotr hata hio air force uliona wapi wamepiga Military Strategy Point, hamna lolote wao target zao watoto, wanawake na majumba..
Haumsomi huku unajibu uzi?Huwa hatukusomi sana sababu vyanxo vyako huwa vya kuokoteza sana
Halafu huwa ni majeruhi tu,hawafiNilkua nafatilia hii vita Lebanon Israel underground ana chapika sana asee
Wanaofanyiwa Hezbollah au raia ili kupata idadi kubwa ya vifo. Ndilo maana wataalamu wa vita wanasema Israel imeshindwa vita Gaza kwa sababu ushindi hauangaliwi kwa kubomoa numba za raia na kuuwa raiaUkiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
Hata hiyo ya anga inategeme na nchi anayopigana nayooVita vya ardhini mtakwisha
Hujajibu nilichokuuliza!Israel si kitu pasipo msaada wa US na nchi za EU.
Egypt tu inaitandika Israel inapotea wakienda man to man, hakuna kuingilia, japo ni kitu kisichowezekana katika uhalisia.
Hata six days war Israel ilipewa msaada mkubwa na nchi za magharibi kuanzia intel hadi silaha.
Huwezi shinda vita kwa kutumia anga tu,ndiyo maana israel kaweka wanajeshi 80k kaskazini anakopakana na lebanon licha ya kubomoa majumba kwa ndegeHujajibu nilichokuuliza!
Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.
Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.
Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.
Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.
Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.
Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.
Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.
Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.
Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.
Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.
Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.
Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
Air force kwa msaada wa US na EU.Hawana lolote hata hio air force uliona wapi wamepiga Military Strategy Point, hamna lolote wao target zao watoto, wanawake na majumba..
infantry remains a vital part of modern warfare.Hujajibu nilichokuuliza!
Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.
Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.
Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.
Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.
Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.
Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.
Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.
Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.
Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.
Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.
Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.
Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
Source - Masjid ubwabwa.Ukiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
We unalisoma hili pumbavu,Ukiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
Uongo mtupu!,,
Kakudanganya nani?Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Israel ardhini haipo vizuri, tusilete ubishi usio na maana.Kakudanganya nani?
Usitarajie Iran a
jibu swali nani kakudanganya? Je unavijua vigezo vya kuwa bora na kutokuwa bora kwa upande wa askari wa Miguu ( Infrantry? )Au unabwabwaja tu?Israel ardhini haipo vizuri, tusilete ubishi usio na maana.
Gaza kilichotokea umefuatilia?Kakudanganya nani?
We mzayuni kutoka Kagera tulia unataka nieleze nini?Usitarajie Iran a
jibu swali nani kakudanganya? Je unavijua vigezo vya kuwa bora na kutokuwa bora kwa upande wa askari wa Miguu ( Infrantry? Au unabwabwaja tu?