Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Hawana lolotr hata hio air force uliona wapi wamepiga Military Strategy Point, hamna lolote wao target zao watoto, wanawake na majumba..
Sasa bunkers zikikaa kwenye makazi unafanyaje? Tena hao wavaa vipedo wanabahati sana kwamba hupewa taarifa za kuhama kabla ya kusawazishwa, ingekuwa mm na taarifa sikupi napiga mpaka paka wako.
 
Ukiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
Wanaofanyiwa Hezbollah au raia ili kupata idadi kubwa ya vifo. Ndilo maana wataalamu wa vita wanasema Israel imeshindwa vita Gaza kwa sababu ushindi hauangaliwi kwa kubomoa numba za raia na kuuwa raia
 
Israel si kitu pasipo msaada wa US na nchi za EU.
Egypt tu inaitandika Israel inapotea wakienda man to man, hakuna kuingilia, japo ni kitu kisichowezekana katika uhalisia.

Hata six days war Israel ilipewa msaada mkubwa na nchi za magharibi kuanzia intel hadi silaha.
Hujajibu nilichokuuliza!

Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.

Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.

Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.

Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.

Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.

Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.

Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.

Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.

Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.

Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.

Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.

Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
 
Huwezi shinda vita kwa kutumia anga tu,ndiyo maana israel kaweka wanajeshi 80k kaskazini anakopakana na lebanon licha ya kubomoa majumba kwa ndege
 
Hujajibu nilichokuuliza!

Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.

Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.

Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.

Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.

Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.

Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.

Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.

Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.

Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.

Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.

Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.

Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
infantry remains a vital part of modern warfare.

You can not hold ground bila infantry.

Zunguka pote, lakini ili ummalize adui lazima ushuke upambane naye chini.

Nakubali airpower itatumuka kumshambulia adui, lakini itasaidia kumpunguza nguvu,pia kwenye close air support, lakini ili umkabili adui vyema lazima ushuke chini.

Sote tunajua hapo Labanon Hezbollah wana tunnels zipo complex na zinakwenda sehemu nyingi katika hio nchi, wakati huo Israel anasema anataka kuwamaliza na kuwashinda Hezbollah, atawezaje pasipo kushuka chini kupambana nao ardhini?

Dunia sasa imebadilika, zile drone Israel alikuwa nazo miaka hio, hivi sasa Iran anatengeneza na kuwapa proxies wake, hivi sasa drones militias wengi tu wanazo.

Hio tech hakuna upekee tena, ndio maana umesikia juzi hapa Hezbollah kapiga askari wa Israel wanakula dinner kwemye kambi ya jeshi.

Israel akirusha F16s na ye Hezbollah anarusha hizo kamikaze drones, drones pia tunaweka upande wa silaha za anga.

Hivyo Israel wajitafakari, kama ardhini ni mdebwedo waachane na vita.
 
Ukiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
We unalisoma hili pumbavu,
kesho kabla hakujakucha utaona kipondo kinachopigwa huko lebanon ground na hewani.
Huyu akishiba kunde anaokoteza vihabari vya kipunga tu anaweka hapa
 
Back
Top Bottom