Ccm washazoea kununua vitu vibovu washazoea 10% sasa hata kitu kama chopa wanaleta masihara na upigaji, ona sasa mpaka mpiganaji deo katutoka.makamba ndiye dalali wa hizo chopa?
kwa nini aichukulie ccm chopa mbovu/
Kuhusu taarifa ya Makamba: Makamba alipotoa hiyo taarifa kuhusu Chopa za CCM alikuwa sahihi kabisa. CCM ilikodi Chpa tatu tu, zote zipo salama hadi hivi sasa na zinatumiwa kwenye kampeni. Chopa aliyokuwa nayo marehemu Deo Filikunjombe aliikodi yeye binafsi..haikukodiwa na chama na wala chama hakikuwa na taarifa yoyote kuwa Filikuchombe (RIP) amekodi Chopa.
Hivyo basi,Makamba alitoa taarifa yake ile ili kuwatoa wana CCM na WaTanzania wote kwa ujumla wasiwasi ulioenezwa kuwa Chopa ya CCM imepata ajali na baadhi ya waliokuwamo ni katibu mkuu wa chama taifa, ndugu Kinana, taarifa ambayo haikuwa ya kweli.
Huyo makamba anajifanya mjuaji sana! Atakuwa kaenda kukodisha helikopta hizo bila kwenda na wataalam, Anakodisha helikopta hizo utafikiri Anakodisha chup za mke wke.
January ndy wa kulaaumiwa
Dalali wa ndege aingia matatani.CCM wamekodi ndege kwa nani
wasipojenga mahekalu mwaka huu basi hawajengi tena ,yule ivorian kampiga mzee Mapadlock na hili sakata bilion 1.7 kamakamba nako kanataka kujinasua na hili sakata, makamba amekesha usiku kucha akiomba jamaa wasife ili lawama iwe kwa chopa tu na sio uhai ,ona sasa umewaacha watu wajane na mayatima kwa ufisadi na kuiga vitu usivyokuwa na uwezo navyo ,Bwana alitoa chopa imetwaa Makamba na CCM walaumiwe
January anahusika vipi?
nani ni wataalam wa kutoa go ahead iwapo helicopter hiyo ni nzima na inafaa?
mamlaka husika zilishiriki?
Tatizo ni kutumika mkuu. Angepunguza risk kwa kuamua kubaki jimboni tu.
Hapo tunapowa alarm,kuna kubwa zaidi ya hili linakuja kama hujampa YESU MAISHA YAKO,HUNA BUDI KUJIKABIDHI KWA YESUKuna kitu nahisi hakiko Sawa mahali, Mtikila, Makaidi, mgombea ubunge wa Chadema Lushoto, mgombea ubunge Act Arusha, Emanuel Makaidi wote hao ndani ya mda usiozid mwezi mmoja, najaribu kutafakar nn kinaendelea lakini sipati majibu sahihi. Mungu azilaze roho za marehemu wote sehem salama. .
Ccm hawajawahi kusema ukweli toja dunia imeumbwa, usiamini neno lolote linalotoka kwenye kinywa cha mwana ccm.
Jana walisema mkuu wa majeshi anarudi hadi leo hajaonekana, wamesema ndege zote nzima huku zinaua watu.
Ccm sio ww kuwaamini hata siku moja, heri umkabidhi fisi mwenye njaa bucha na umuamini atalinda nyama kuliko kuamini mwana ccm.
Ovyo kabisa huyu mfiwa.. Sijui ndio panic ya msiba au vipi. Ila sioni mantiki ya kumshukuru JK na kumwacha huyu aliyehangaika kutuma watu usiku kucha. Na huyo Magufuli ndiye hapaswi kabisa kuwepo kwenye shukrani..