TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

R.I.P Deo and all who died in that crash. Nimeumia moyoni sana, poleni familia zote za wafiwa.
 

Yaap....vifo vya mapema simpango wa MUNGU
 
.......kweli kizuri hakidumu, member mwenzetu huyu wa jamii forum, japo hukutumia jina lako halisi...nikikumbuka mada zako za MMU NA Jukwaa la siasa na ushauri wako Deo Filikunjombe siamini kama haupo tena.

BWANA AMETOA NA KUTWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
 

Amen kubwa
 
maswali magumu sana
 
Hivi mnataka kumdanganya Nani?? Hivi Filikunjombe ana pesa gani ya kukodi chopa na kuirusha mwezi mzima bila msaada wa Chama??
kuna MTU anaitwa msukuma naye alikuwa NA helkopta ambayo inadaiwa alipewa NA mzee wa mvi,NA sasa kanyanganywa,sijajua filiku naye aliipatia wapi
 

  • Attached Thumbnails




    pembuzi

    Send PM


  • Mkumba Vana

    Today 03:38
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 10th May 2013
    Posts : 367
    Rep Power : 501
    Likes Received105
    Likes Given117


    [h=2]
    Re: TANZIA: Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza mai[/h]
    Pole nyingi sana kwa wafiwa na naamini ni watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumefiwa! Tuzidi kumuomba mwenyezi Mungu atuepushe na ajali hizi za mfululizo katika kipindi hiki cha kuelekea tarehe 25 Oktoba.

    Poleni sana ndugu, jamaa, marafiki na wana ccm wote!​





    Send PM





 
RIP Deo, RIP Mzee Slaa, RIP wote waliokuwa ktk chopa!
 

Akitumia jina gani hapa JF plz
 
Kuna taarifa zinatoka Kalenga hivi zinaukweli gani? kama kuna mtu ana source ndani ya Kalenga hebu apige simu.
 
Huyu mbuge alikuwa ni mchapa kazi sana! Kazi ya mola haina makosa
 
nawapa pole sana wana Ludewa...ameanza Mchungaji Christopher Mtikila kutoka Kijiji Cha Milo....na sasa ni Deo Filikunjombe kutoka mitaa ya Mlangali ni juma baya sana kwa wana Kusini kwani hata Profesa Bangu wa Tumaini Iringa nae hatunae.. kwa wale wanaomfahamu au walisoma Tumaini University IringaKazi ya Mungu haina makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…