Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanone kauli yako ya Mungu hajakutendea haki kumchukua Deo Filikunjombe umekosea. Biblia ina sema hapo mwanzo kulikuwa na Neno, nae Neno alikuwpo kwa Mungu, naye Mungu alikuwa ndio hilo Neno. Sehemu nyingine inasema Mungu akaweka umri wa Mtu kuishi duniani, akasema itakuwa miaka 80, ila akizidi hapo atakuwa anamuiba Mungu. Sasa kufa kabla ya hapo ni shetani sio Mungu tena. Uombe toba kwa Mungu.
jANUARY ANABORE SANA TENA SANA.Wanaomtetea Makambako hiyo ni tàarifa ya ccm
Always I appreciate your comments!
Mungu Baba wa rehema uliyeumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, baba tunaomba rehema juu ya nchi yetu, tunaomba toba juu ya taifa letu, yamkini hatujasimama ktk zamu zetu basi Mungu tusamehe pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako.
Baba wa mbinguni tunatubu kwa ajili ya nchi yetu, tunatubu juu ya viongozi wetu, Baba mambo yanayotokea katika nchi yetu ni mazito na magumu kwetu, kwa ajili zetu za kibinadamu hatuwezi, Mungu simama na ujidhihirishe ktk taifa letu hasa kipindi hiki kigumu tulichonacho
Mungu tunaomba utuvushe salama ktk uchaguzi huu, tunaomba amani yako itawale ktk uchaguzi, nchi iendelee kuwa na amani ili tuendelee kupata nafasi ya kukuabudu mfalme wa amani.
Mungu wa rehema tunaumizwa mno na vifo vinavyoendelea kutokea ktk nchi yetu kwa watu tunaowafahamu na tusiowafamamu pia, Mungu tunakemea pepo la mauti ktk jina la Yesu, tunaliseta kuzimu, basi Mungu tunaomba ukapate kuonekana na kujidhihirisha, tunaamini utakwenda kututendea sana sawa na mapenzi yako.
Yote haya tunayaomba kupitia jina Yesu mwana wako aliye hai, Amen....!
maswali magumu sanaNimejiuliza sana Deo ni wapi amepata jeuli ya pesa za kukodi chopa wakati jimboni kwake hana upinzani wa kumtisha? uchaguzi wa Ludewa ulikuwa ni kukamilisha ratiba tu lakini mbunge ni Deo je ni kwa nini atumie gharama zote hizi wakati yeye anatoka familia masikini? bado najiuliza sana hili swali.
kuna MTU anaitwa msukuma naye alikuwa NA helkopta ambayo inadaiwa alipewa NA mzee wa mvi,NA sasa kanyanganywa,sijajua filiku naye aliipatia wapiHivi mnataka kumdanganya Nani?? Hivi Filikunjombe ana pesa gani ya kukodi chopa na kuirusha mwezi mzima bila msaada wa Chama??
Always I appreciate your comments!
Mungu Baba wa rehema uliyeumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, baba tunaomba rehema juu ya nchi yetu, tunaomba toba juu ya taifa letu, yamkini hatujasimama ktk zamu zetu basi Mungu tusamehe pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako.
Baba wa mbinguni tunatubu kwa ajili ya nchi yetu, tunatubu juu ya viongozi wetu, Baba mambo yanayotokea katika nchi yetu ni mazito na magumu kwetu, kwa ajili zetu za kibinadamu hatuwezi, Mungu simama na ujidhihirishe ktk taifa letu hasa kipindi hiki kigumu tulichonacho
Mungu tunaomba utuvushe salama ktk uchaguzi huu, tunaomba amani yako itawale ktk uchaguzi, nchi iendelee kuwa na amani ili tuendelee kupata nafasi ya kukuabudu mfalme wa amani.
Mungu wa rehema tunaumizwa mno na vifo vinavyoendelea kutokea ktk nchi yetu kwa watu tunaowafahamu na tusiowafamamu pia, Mungu tunakemea pepo la mauti ktk jina la Yesu, tunaliseta kuzimu, basi Mungu tunaomba ukapate kuonekana na kujidhihirisha, tunaamini utakwenda kututendea sana sawa na mapenzi yako.
Yote haya tunayaomba kupitia jina Yesu mwana wako aliye hai, Amen....!
Send PM
JF Senior Expert MemberArray
Send PM Tulisha ambiwa CCM ni ile ile
.......kweli kizuri hakidumu, member mwenzetu huyu wa jamii forum, japo hukutumia jina lako halisi...nikikumbuka mada zako za MMU NA Jukwaa la siasa na ushauri wako Deo Filikunjombe siamini kama haupo tena.
BWANA AMETOA NA KUTWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Kuna taarifa zinatoka Kalenga hivi zinaukweli gani? kama kuna mtu ana source ndani ya Kalenga hebu apige simu.
Jimbo la Kalenga, mwenye access aulize huko what goes on?Taarifa gani tena tofauti na hizi?