TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mpango wa mungu ktk kuelekea kuing'oa ccm madarakani tarehe 25/10/2015.
 
kiukweli,ajar ya ndege si kama za magar na sidhan km watakua hai tena,zinaruka juu sana na zikianguka mara nyingi huripuka.kuhusu huduma ya kwnza sio wote wenye taaluma hizo nchini,na zinahitaj vifaa vya kisasa mfano kukata mabati na nk.ccm isilaumiwe kwny hili ile ni ajali na ukweli mnaujua kuhusu ajali za ndege.
 
Ina maana mtumishi wa halmashauri iweje awe kwenye harakati za kampeni mda ambao angestahili kuwa kwenye kazi za kutumikia wananchi.
 
Radio One wanasema Deo na washirika wake waliokuwamo kwenye ndege wamenusurika wako salama. Ila eneo ndege ilipodondoka haijajulikana kutokana na mawasiliano kuwa hayapatikaniki kirahisi.
 
Wamejuaje kama wapo salama?? Ikiwa mawasiliano ni ya shida??

Shemeji nimejiuliza hilo pia. Au maybe wao waliruka na ma parachute then ndege ikaenda kudondoka yenyewe kusikojulikana.

Wamesema watazidi kutoa taarifa zaidi ya tukio hilo.
 
Kama wapo salama basi tunamshukuru Mwenyezi Mungu
Poleni sana wahanga wote
 
Watumish wa serikali hawaruhusiw kujihusisha na masuala ya kisiasa.Undugu nyumbani sio kwenye kampeni
Watumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na masuala ya kisiasa ikiwemo kupanda katika majukwaa ya kisuasa na kuwa mwanachama wa chama cha siasa isipokuwa shughuli hizo za kisiasa hatatakiwa kuzifanya mahali pa kazi na katika muda wa kazi. Sasa yawezekana huyo mtumishi wa umma ana likizo au yupo kazini lakini alifanya mambo hayo baada ya saa za kazi
 
kwakweli inasikitisha sana

Cpt. Silaa ni mzazi wetu, Deo ni mdogo wetu, Haule ni ndugu wa Deo... hawa ni watu tena wasio na makuu

Watanzania tutakubaliana kwamba Deo is a unique politician,

Naunga mkono hoja... tuwe sensitive
CCM wanatutukana sana kwamba tunasubiri kufa,halafu Magufuli anakejeli matumizi ya chopa kwa Lowasa,nimemsikia mwenyewe Babati
 
Shemeji nimejiuliza hilo pia. Au maybe wao waliruka na ma parachute then ndege ikaenda kudondoka yenyewe kusikojulikana.

Wamesema watazidi kutoa taarifa zaidi ya tukio hilo.

Yaani ukitafakari vizuri hizi habari za wapo salama huku wakisema hawajafika ndege ilipo ndo unaona namna tulivyo wababaishaji.
Kwanin hawatwambii wamepataje hizo habari??
 
Back
Top Bottom