pochilangu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 244
- 95
Deo yupo salama
Wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deo yupo salama
Duh.... Ngoja tuweke siasa kando!!
Mungu awaepushie madhara na wawe salama!!
Kinana alikuwepo?
Mpango wa mungu ktk kuelekea kuing'oa ccm madarakani tarehe 25/10/2015.
Huo mpango wa Mungu ungekuwa bora zaidi ungefiwa wewe na wapendwa wako.Mpango wa mungu ktk kuelekea kuing'oa ccm madarakani tarehe 25/10/2015.
Radio One wanasema Deo na washirika wake waliokuwamo kwenye ndege wamenusurika wako salama. Ila eneo ndege ilipodondoka haijajulikana kutokana na mawasiliano kuwa hayapatikaniki kirahisi.
Wamejuaje kama wapo salama?? Ikiwa mawasiliano ni ya shida??
Wamejuaje kama wapo salama?? Ikiwa mawasiliano ni ya shida??
Watumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na masuala ya kisiasa ikiwemo kupanda katika majukwaa ya kisuasa na kuwa mwanachama wa chama cha siasa isipokuwa shughuli hizo za kisiasa hatatakiwa kuzifanya mahali pa kazi na katika muda wa kazi. Sasa yawezekana huyo mtumishi wa umma ana likizo au yupo kazini lakini alifanya mambo hayo baada ya saa za kaziWatumish wa serikali hawaruhusiw kujihusisha na masuala ya kisiasa.Undugu nyumbani sio kwenye kampeni
CCM wanatutukana sana kwamba tunasubiri kufa,halafu Magufuli anakejeli matumizi ya chopa kwa Lowasa,nimemsikia mwenyewe Babatikwakweli inasikitisha sana
Cpt. Silaa ni mzazi wetu, Deo ni mdogo wetu, Haule ni ndugu wa Deo... hawa ni watu tena wasio na makuu
Watanzania tutakubaliana kwamba Deo is a unique politician,
Naunga mkono hoja... tuwe sensitive
Shemeji nimejiuliza hilo pia. Au maybe wao waliruka na ma parachute then ndege ikaenda kudondoka yenyewe kusikojulikana.
Wamesema watazidi kutoa taarifa zaidi ya tukio hilo.