chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Kuna Mtu Huko Juu Amesema Alivosikia Dr.Slaa A.K.A Dr.Mihogo Nae Alikuwepo...
Watu wameninukulisha vibaya kumbe ni Slaa Capt. Baba yake Jerry Slaa na si Dr Mihogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mtu Huko Juu Amesema Alivosikia Dr.Slaa A.K.A Dr.Mihogo Nae Alikuwepo...
Mkuu naamini umeongea hivi tu kwa sababu ya ushabiki ,kwani Chopa Mpya sh ngapi ???
Mkuu naamini umeongea hivi tu kwa sababu ya ushabiki ,kwani Chopa Mpya sh ngapi ???
ni laki nane tu mkuu
Hehehehe Kwahiyo Chadema Zile Chopa Ni Zao??
Tuweke Ushabiki Pembeni Tu,kama Hata Ofisi Za Pale Ufipa Tu Mmeshindwa Kuzifanyia Utaratibu Kweli Mnakuja Kununua Chopa??
Hehehehe Kwahiyo Chadema Zile Chopa Ni Zao??
Tuweke Ushabiki Pembeni Tu,kama Hata Ofisi Za Pale Ufipa Tu Mmeshindwa Kuzifanyia Utaratibu Kweli Mnakuja Kununua Chopa??
ni laki nane tu mkuu
Mmeshaambiwa helikopta zote za CCM zipo salamaMwenye taarifa za uhakika atujuze ili watu wabaki na Amani
Kaa kimya nyinyi mnaiba pesa zetu sisi walipa kodi ndo mnaendesha chama chenu na ndo maana tunahasira na nyinyi mnakaa mnatetea ugali wenu eeh huu mwaka hamtoki nawaambia na ndo mtajua uchungu wa kodi
Mungu amlinde mwanamageuzi Deo Filikunjombe na baba Jerry silaha ambaye ni rubani