Hizi ni pumba zilizopitiliza,, kuwa rubani wa helicopter hakuhitaji kadi ya chama bro,,, hiyo ni taaluma ambayo mtu husomea na kufuzu vizuri ndio hupewa leseni ya kurusha.... Tafuta maisha kwa nguvu yoyote uandae maisha ya familia yako na sio kuwa na wivu ukiona mtu asiye sehemu ya familia yako akifanikiwa... Ungesoma shuleni kwa bidii na ukafaulu kwa kutumia kichwa chako vizuri na ukawa mhangaikaji kwa maana ya kujitambua mapema basi ungejua nini cha kusomea na sio hiyo fani uliyosomea na kuwa na chuki na wenzio,,, mlaumu mzazi wako kwa kutopambana na kukuandalia maisha vizuri,, kama hiyo haitoshi usikate tamaa bado muda unao pambana tunza fedha,, heshimu maisha yako,, usiendekeze ulevi na umalaya, pambana kimaisha bro tunza na iheshimu hata shillingi,, ukizipata jaribu kuandaa Future ya wanao na nduguzo,,, vipi unabustani hata ya nyanya katika umri wako hii bro!!! au ndio unategemea mshahara ufanye kila kitu?? Au ndio Wale mnaotaka utajiri bila kufanya kazi na kumuomba mungu...???