TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Wanasema abiria wote wako salama.. According to Makamba na Zitto..

Basi tuone hata picha zao au hiyo helikopta isije ikawa tunachezewa mchezo..
 
isije ikawa ni kutafuta tension ya kura za huruma.

nakumbuka jk alidondoka pale jangwani kumbe ilikuwa kupima tension ya watu..

mbowe naye akuwa nyuma katika hilo...(respect sana kamanda Mbowe kipindi kile unawania Urais)
Moto ni ule ule! Na ajali ni ajali Oct 25 kichinjio kiko pale pale
 
Wanasema abiria wote wako salama.. According to Makamba na Zitto..

Basi tuone hata picha zao au hiyo helikopta isije ikawa tunachezewa mchezo..
Huyo zito na January wote majuhaa wanasema waliyopata ajali wako salama wao wamewasiliana nao vp! Au ndy wazee wa kukanusha
 
Aisee huyo Deo namkubali sana naomba Mungu awe mzima
 
Hizi ni pumba zilizopitiliza,, kuwa rubani wa helicopter hakuhitaji kadi ya chama bro,,, hiyo ni taaluma ambayo mtu husomea na kufuzu vizuri ndio hupewa leseni ya kurusha.... Tafuta maisha kwa nguvu yoyote uandae maisha ya familia yako na sio kuwa na wivu ukiona mtu asiye sehemu ya familia yako akifanikiwa... Ungesoma shuleni kwa bidii na ukafaulu kwa kutumia kichwa chako vizuri na ukawa mhangaikaji kwa maana ya kujitambua mapema basi ungejua nini cha kusomea na sio hiyo fani uliyosomea na kuwa na chuki na wenzio,,, mlaumu mzazi wako kwa kutopambana na kukuandalia maisha vizuri,, kama hiyo haitoshi usikate tamaa bado muda unao pambana tunza fedha,, heshimu maisha yako,, usiendekeze ulevi na umalaya, pambana kimaisha bro tunza na iheshimu hata shillingi,, ukizipata jaribu kuandaa Future ya wanao na nduguzo,,, vipi unabustani hata ya nyanya katika umri wako hii bro!!! au ndio unategemea mshahara ufanye kila kitu?? Au ndio Wale mnaotaka utajiri bila kufanya kazi na kumuomba mungu...???

U NAILED IT
icon14.png
 
Mmejenga kumbi ya Billion 50 angali mita 500 kutoka hapo unaingia Makulu ambako hakuna upatikanaji wa maji na watoto wa makulu shule ya msingi wanakaa chini..

Mtoto wako akikaa chini ni upumbavu wako. Miti yote hii huioni?
 
Jamani,yaani naogopa kupokea taarifa mbaya,kuna kitu wanaficha hapa,helkopiter imelipuka ikiwa na watu ndani,dah im smelling bad newz here

Usikariri ikilipuka itakuwa na watu ndani, inawezekana kabisa wakati inalipuka crue wakawa walisharuka wote.
 
Huyo zito na January wote majuhaa wanasema waliyopata ajali wako salama wao wamewasiliana nao vp! Au ndy wazee wa kukanusha

ndiyo maana nasisitiza kuwa hii ni kutafuta ''tension'' kupata kura za huruma...

Ngoja tuendelee kusubiri.. Maana taarifa zao zinakinzana sana, jana walipokuwa wanasema Deo mzima, Nyalandu alikuwa anasema hakuna anayejua hali zao..
 
We gamba skia a baki kwenye mada! Tambua serikali yako hii ya ccm ni ya kingese sana inapokuja suala la uokoaji hawawezi
Si ajabu ukashanga sahvi wanaomba msaada kutoka south afrika ili waje wafanye rescue. ...Serikali ya kijinga sana hii

Tunaweza Bwana,wewe Tu Unaiundermine..
Halafu Tatizo Pia Linakuja Mahali Ajali Ilipotokea....
Licha Ya Hivo Kuna Matatizo Ya Vifaa Lakini Tunajitahidi Mkuu......Hiyo Ajali Haiwezi Ikatufanya Tuombe Msaada South...
 
Ukiwaambia hivo wanachukia na watasema ni siasa

Tukiangalia hii serikali ya ccm tutachoka kuijadili humu . Lipotokea jambo la dharura km hili la kuokoa maisha ya watu wanajivuta mithili ya konokono na mbinu za kisasa huwa hawana. Lakini inapokuja suala la kuwanunua wapinzani na kuweka mapandikizi kwenye siasa ccm hawajambo. Chap chap hela zisizokuwa na idadi zitapatikana haraka sana.mungu uwanusuru waliopata ajali hiyo.
 
Jerry Silaa
Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii.
Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti.
Tuwaombee wote Mungu awanusuru.
JS source jeri salaa facebook
 
Back
Top Bottom