Sema kweli 😳Weka bayana jinsia yako
Usifunge PM
Kujibu PM ni hiari yako, ila usifunge utanishukiru baadae.
Ukimaliza moezi 6 bila bani unafuzu kupanda daraja la mwanajukwaa mkuu wa JF. Na hapo watu wataanza kukuita Mkuu.
Unataka umsumbu huko PM?Weka bayana jinsia yako
Usifunge PM
Kujibu PM ni hiari yako, ila usifunge utanishukiru baadae.
Ukimaliza moezi 6 bila bani unafuzu kupanda daraja la mwanajukwaa mkuu wa JF. Na hapo watu wataanza kukuita Mkuu.
Jina tu linatisha Warboy,ila karibu Jf kwenyewe ni vitani,ila inategemea unaichagua vita gani,kama ni ile dhidi ya ukosefu wa haki?ile juu ya chawa?,ile juu ya ufisadi na mafisadi?Ama uchawa kwa wanasii hasaa hapo ni wewe tyu.karibu
Kama Wapare hatupo hicho chuo chenu kikuu kifuteniiiKaribu chamani mkuu, tunza kibunda chako. Walaghai ni wengi humu.
View attachment 3289754
I'D yako ya mwanzo ni ip
kwani huelewi maana ya NEW?I'D yako ya mwanzo ni ipii?