The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Tandale unaijuaje JF , lazima utakuwa una masters au degreeHahahaha sio wote msimtishe,sie wengine tunaishi tandale
Tandale unaijuaje JF , lazima utakuwa una masters au degreeHahahaha sio wote msimtishe,sie wengine tunaishi tandale
Hahahaha,Ina maaana tandale hkn anaijua JF? Mbn unatudharau MkuuTandale unaijuaje JF , lazima utakuwa una masters au degree
Nakupa wiki ntajua ID yako ya zamani ni ipikaribu
utakuwa umefanya vizuri. nakusubiriNakupa wiki ntajua ID yako ya zamani ni ipi
good morning, how are you?. kuna mtu aliniambia kuitwa mkuu sijui mpaka nifanye nini nini, wewe mbona umeniita?Good morning mkuu
I'm fine, Kila mtu ni Mkuu humu ndanigood morning, how are you?. kuna mtu aliniambia kuitwa mkuu sijui mpaka nifanye nini nini, wewe mbona umeniita?
Kuna ada unatakiwa ulipie ili upate badge ya Jf Expert member ambayo baada ya kupata utakua unalipwa mshahara kila ukiweka uu
thank youYour welcome