hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

karibu sana gentleman,
na kama familia ya heshma sana ya JF na taifa kwa ujumla, tukiongozwa na rais madhubuti na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan tunakukaribisha sana na ujiskie huru kuchangamana na wadau wengine wa JF kwa heshma bila mihemko, makasiriko wala matusi ili hatime tusonge mbele pamoja as JF family :DisGonBGud:
 
Back
Top Bottom