hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

Weka bayana jinsia yako

Usifunge PM

Kujibu PM ni hiari yako, ila usifunge utanishukiru baadae.

Ukimaliza moezi 6 bila bani unafuzu kupanda daraja la mwanajukwaa mkuu wa JF. Na hapo watu wataanza kukuita Mkuu.
Pia, huwa ninashangaa kwanini mtu afunge Pm wakati ana hiari ya kujibu ama kutokujibu?

Sometimes watu wanaomba ushauri privately.
 
Humu ndani kila mtu ana degree na masters

Kila mtu anaishi mbezi beach, Masaki na huko mbweni

Kila mtu aliwahi kufika USA na nchi nyingine tofauti tofauti

Kila mtu yupo kwenye system, wengi usalama wa taifa

Humu kila mtu ana tumia iphone, Samsung na pixel

Humu kila mtu ana gari, na nyumba yake
 
Karbu saana kijana, wenzako tuko humu kitambo miaka hiyooo kabla hata hatujabarehe.
Tafuta uzi wa wa unaohusu dada mmoja aliyepata umarufu mjin kwa shanga za bibi yake.

Kula tunda kimasihara,
Hizo ni nyuz nambari wani kurefresh.
 
kuwa makini kuna wazee wa kuomba assist maana utakutana nao bila kuwasahau wale wenye jinsia mbili nao wapo wengi na mwisho kabisa humu chawa ni wengi...
 
Humu ndani kila mtu ana degree na masters

Kila mtu anaishi mbezi beach, Masaki na huko mbweni

Kila mtu aliwahi kufika USA na nchi nyingine tofauti tofauti

Kila mtu yupo kwenye system, wengi usalama wa taifa

Humu kila mtu ana tumia iphone, Samsung na pixel

Humu kila mtu ana gari, na nyumba yake
Hahahaha sio wote msimtishe,sie wengine tunaishi tandale
 
Back
Top Bottom