hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

Nikiona unachati na mishangazi yangu kwa mazoea ya kuvuka mipaka tutaonana wabaya.

Mimi ni Modi hivyo nitakupiga bani.
 
karibu sana gentleman,
na kama familia ya heshma sana ya JF na taifa kwa ujumla, tukiongozwa na rais madhubuti na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan tunakukaribisha sana na ujiskie huru kuchangamana na wadau wengine wa JF kwa heshma bila mihemko, makasiriko wala matusi ili hatime tusonge mbele pamoja as JF family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…