Hello

Hello

I trust nobody. Yani walimwengu ukiwafikiria unaishia kuwa disappointed.
Busy with my life, fullfilling my five prayers a day, nikijisikia kulia namlilia Allah. Bora wali maharage kuliko walimwengu.

Kuna kipindi nilikua namlilia Mungu kwa nini Sina marafiki

Akanipa mmoja ameninyoosha nimekoma
 
Katika hayo unayopitia ulishawahi kuwaza au kutamani ulale usiamke tena, ulale usingizi wa milele? au ushawahi jifungia ndani siku nzima unalia?
wewe uliwaza tu, wengine walijaribu hata kujiua kabisa...

Kujifungia siku nzima unalia, wapi waliolia wiki nzima,.
Dunia hii kuna watu wanapitia magumu...

Btw, inaonekana ni serious issue mpaka ukaona MMU hapatoshi mpaka kuweka uzi HHM.... Pole
 
Katika hayo unayopitia ulishawahi kuwaza au kutamani ulale usiamke tena, ulale usingizi wa milele? au ushawahi jifungia ndani siku nzima unalia?
kiukweli tunapitia changamoto nyingi katika maisha ila sijawahi kufikia hatua ya kutamani kulala nisiamke tena kulia rafiki sisi huwa tunajikaza ngumu kuona chozi mwisho wa siku tunamuachia mungu anayeruhusu yatokee yaliyomema na mabaya kwetu.
 
Mane nakuomba usicheke yasije yakakukuta na wewe.
hahaha ww naye bwana..kila nikikuona nacheka aise na comments zako bas ngoj nidelete comment yangu..unajua sikujua km ana jambo zito asije kwazika zaidi ..sorry
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tungekuwa tunaweza kutuma voice note humu ningetuma kicheko changu!
Kuna kipindi nilikua namlilia Mungu kwa nini Sina marafiki

Akanipa mmoja ameninyoosha nimekoma
 
Rafiki, sigara hujawahi ninunulia labda pepsi baridi.
Rafiki nakumbuka ilikuwa ni sigara labda kama siku hizi umeacha kuvuta!.....tulikuwa marafiki tunaopendana na kuaminiana sana!!
 
I trust nobody. Yani walimwengu ukiwafikiria unaishia kuwa disappointed.
Busy with my life, fullfilling my five prayers a day, nikijisikia kulia namlilia Allah. Bora wali maharage kuliko walimwengu.
Ahsante mami, nami nkimaliza kusali huwa naamani sana, nimekuwa mzembe sana kipindi hiki, ahsante kunikumbusha kwenye wengi hakuharibiki jambo.

St Jude prayer never failed me.
 
hahaha ww naye bwana..kila nikikuona nacheka aise na comments zako bas ngoj nidelete comment yangu..unajua sikujua km ana jambo zito asije kwazika zaidi ..sorry
Ujue mane wewe ni mwanamke mwenye nyota ya pekee, sijui kwa kua jina lako linaanza na pesa maana kila nikikupa like lazima kesho yake niokote pesa
 
Rafiki nakumbuka ilikuwa ni sigara labda kama siku hizi umeacha kuvuta!.....tulikuwa marafiki tunaopendana na kuaminiana sana!!
Rafiki mimi navuta nyota, rudisha urafiki wetu tupendane na kuaminiana tena.
 
Pole sana mkuu, mimi nina marafiki 3 tu maishani mwangu wengine ni watu wa karibu.

Sio kila mtu unaweza kumruhusu akujue.
Weee tuma tu
Ila rafiki amejua kunitenda yaani

Halafu hajajua kama nimemshtukia tukionana namchekea kama kawaida
 
Back
Top Bottom