Miss weapon
Member
- Sep 9, 2019
- 94
- 67
- Thread starter
-
- #41
Ah ah ah kweli mkuu! Pia inabidi tuitishe na sisi kikao rasmi na kupeana mbinu na mipango ya kuwadhibiti washenzi wote wanaotukosesha raha.Karibu mkuu...usifungue PM kuna mabazazi wao ni kuchomoa betri tu...ππ
Yeap! Ur welcomeMpenzi kujihami muhimu et!!ππ
Ah ah ah kweli mkuu! Pia inabidi tuitishe na sisi kikao rasmi na kupeana mbinu na mipango ya kuwadhibiti washenzi wote wanaotukosesha raha.
Ahsante MissYeap! Ur welcome
Nadhani tukijiita WATIBUAJI itapendeza sana.Chama cha wanawake WATIBUAJI Tanzania. (CCWWT)Kweli kabisa mkuu,tuanze na jina letu kwanza tutajiitaje? π π π ...
Mimi hicho ndo kitengo changu cha kudumu.Nilishangaa mgeni kafika halafu Mkuu wa kitengo cha kukaribisha hujatia neno Shem.
Nadhani tukijiita WATIBUAJI itapendeza sana.Chama cha wanawake WATIBUAJI Tanzania. (CCWWT)
Kweli kabisa mpenzi, tena hao Mabaalia na 7800 wajipange kweli kweli maana mwisho wa tambo zao umefika.Hahaha Mkuu..inaelekea tumepata moja ya great thinkers humu..karibu sana lovie..usijali jina limepita kwa upande wangu..lol..sijui wengine..lol
Ahsante MrKaribu mkuu.
Bibi waonaje nikimbeba huyu miss weapon..?
I just love singing and dancing...
Ni mgeni afu kashda km zote!
Mr Slim5 ah ahπππNi mgeni afu kashda km zote!
Mhh jamani ndo mmeanza kuninyatia mapema hivyo, KENZY ushindwe na ulegee...katika jina la YesuBibi waonaje nikimbeba huyu miss weapon..?
Kazi ndo kwanza imeanza, ndugu WATIBUAJI tujiandae na kikao cha dharura.Kupatwa kwa Jf, mchezo unakuja kubadilishwa dk za lala salama
Ngoja niongeze nguvu... Mshana Jr fanya kitu hapa namtaka huyu kiumbe asipokaribishwa nami atakaribishwa na na Nani.. na vile hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Mhh
Mhh jamani ndo mmeanza kuninyatia mapema hivyo, KENZY ushindwe na ulegee...katika jina la Yesu
Utatoa tuJidanganye hivyo hivyo, huu mkate wa chuma babu ehh
Kazi kwakoUtatoa tu