Miss weapon
Member
- Sep 9, 2019
- 94
- 67
- Thread starter
- #41
Ah ah ah kweli mkuu! Pia inabidi tuitishe na sisi kikao rasmi na kupeana mbinu na mipango ya kuwadhibiti washenzi wote wanaotukosesha raha.Karibu mkuu...usifungue PM kuna mabazazi wao ni kuchomoa betri tu...😁😉