Hellow

Hellow

Ah ah ah kweli mkuu! Pia inabidi tuitishe na sisi kikao rasmi na kupeana mbinu na mipango ya kuwadhibiti washenzi wote wanaotukosesha raha.

Kweli kabisa mkuu,tuanze na jina letu kwanza tutajiitaje? 😉 😉 😅...
 
Hahaha Mkuu..inaelekea tumepata moja ya great thinkers humu..karibu sana lovie..usijali jina limepita kwa upande wangu..lol..sijui wengine..lol
Kweli kabisa mpenzi, tena hao Mabaalia na 7800 wajipange kweli kweli maana mwisho wa tambo zao umefika.
 
Mhh
Mhh jamani ndo mmeanza kuninyatia mapema hivyo, KENZY ushindwe na ulegee...katika jina la Yesu
Ngoja niongeze nguvu... Mshana Jr fanya kitu hapa namtaka huyu kiumbe asipokaribishwa nami atakaribishwa na na Nani.. na vile hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Back
Top Bottom